Muandishi mashuhuri wa vitabu vya historia wa Uingereza - huyu
Behaviourist kanifanya mimi intellectual, sasa nishampeleka kwenye ubuyu namrudisha kwenye u intellectual- Paul Johnson, alihojiwa na kipindi kimoja cha BookTV C-Span Marekani.
Akawa anatoa maoni yake, kipindi hicho ndiyo Obama anakuwa Rais.
Akawaanaongelea usomi usomi, akaulizwa, utapenda Rais Obama awe msomi msomi atuondoe kwenye ujinga wa Bush?
Akasema hatapendelea, wasomi wasomi wakiendeleza usomi sana wanakuwa boring, halafu wanafanya mambo kwa vitabu sana mpaka wanaharibu.
Angependa kuona Obama anakuwa anachanganya werevu wa kisomi na werevu wa kimtaa mtaa.
Sasa rafiki yangu
Behaviourist asishangae akinikuta najichanganya kutoka ma "logical non sequitur" kwenye philosophy of religion, mpaka stories ya ku destress za Dogo Janja.
Dogo Janja anaweza kujadiliwa in the highbrow prism of a post-modernist existential Shakespearean fool's tragicomic Romeo and Juliet analogy.