Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Enzi zetu Kulitokea Mashati yalioandikwa Juliana... Sema huyo Juliana naye ali-likoleza kwa kutwa Jina hilo.
 
No huo ni uongo, hiyo juliana niliambiwa ni sababu ya mashati fulani ya kipindi hicho yalikuwa yanatoka uganda (kumbuka ngoma kuja tanzania iliingia sana kutokea uganda na Zaire) na yalikuwa yamebana na membamba sana, so mtu alipokuwa ana ngoma hali yake si anakuwa mwembamba na ndio maana wakawa wanaita juliana na si hicho ulichoandika
 
Naomba anaefahamu umri wao atwambie kwanza,kingine kama walikua seriouz na uwoya kasikiliza ushauri wa mashabiki basi ata huko anakoenda basi atashauriwa tena mambo mengne afuate
 
Bwana hakujua kama sio kila wa kike ni wa kuoa"
Hao wadada KANUMBA + DIAMOND ndio wanajua kuwala na kuwamwaga sio kumvisha pete.
Nawasihi vijana mnapoingia majiji makubwa muwe makini msitishwe na make up'.. Wezi tu hao.
Kumbe kanumba bado anawala hao wadada
 
Akatafute saizi yake. Aachane na wakubwa. Makubwa awaachie wakubwa. Akatafute kicheche chenzake waanze kwenda kwa bakhresa kununua rambaramba.

Kwenye maisha Kuna hatua muhimu ambazo lazima mtu upitie.
Kama
Kuendesha lingi
Kupiga manati ndege
Kucheza mpira wa soksi
Michezo ya kujificha jionijioni

Usipocheza utotoni utaicheza uzeeni.
 
Kitabu cha The God Delusion kimetoka nipo Marekani.

Mimi nilishazibuka tangu niko Tanzania, nimesoma "The Philosophy of Religion: An Anthology", kabla ya "The Selfish Gene".

Kwa taarifa tu
Newton's third law of motion; to every action, there is an equal and opposite reaction.
If there is no God, tell me what's there? Do u believe in magic/uchawi kwamba it exist?
 
Mi mbona nikiachwa huwa siumii au niko tofauti nini??!!yaani nikiachwa huwa naskia raha sana
 
Dogo naye alikuwa anajitafutia shida. HIVI UNAWEZA KWENDA HAPO FERI UKAKUTA MATATIZO YANAELEA BAHARINI YAMELETWA NA MAWIMBI KUTOKA KUSIKOJULIKANA NA HAYANA UELEKEO UKAZOA NA KUPELEKA NYUMBANI UKASEMA UMEPATA?
Bwege sana wewe kunywa balimi hapo nakuja kulipa
 
Newton's third law of motion; to every action, there is an equal and opposite reaction.
If there is no God, tell me what's there? Do u believe in magic/uchawi kwamba it exist?
Kuamini Mungu na kuamini uchawi zote ni imani sawa tu kwa sababu zote ni imani za supernatural forces.

Mimisitaki kuamini, nataka kujua.

Nasoma equations za Paul Dirac za Quantum Physics, naangalia Schrodinger's Cat experiment, nangalia double slit experiment,naangalia habari za kuunganisha Einstein's Relativity na Quantum Physics.

That is far more interesting to me than any God or uchawi.
 
Ngoja nimwite haniangushagi huyu!!

Kiranga eti unamskia huyu?
NIKOMESHEEEEE!!
Mimi napenda majibizano ya details.

Mtu akisema nimekimbia swali ataje wapi, swalilipi, aweke link.

Habari za shutuma za jumla jumla wengine watu hatupendi shutuma.
 
Mnapo muonea huruma mlikuwepo wakiwekeana mkataba?? Yawezekana Uwoya alimtaka kama kitulizo tu cha mwezi mmoja. Haya majitu hayatabiriki. Yawezekana alimtumia ili amshushue huyu wa sasa kuwa Janja anakupiku. Uwoya mjanja kuliko Dogo kwa kweli. Akajitangazia kuwa mnaomuona mkongwe mbona Serengeti wanamuona saizi yao?
 
Nhahahhahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…