Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Imma imma imma take you to Dubai...
I'll take you to Dubai...

Imma imma take you to Dubai..
I'll take you to Dubai..

Kuna waatu na viatuuu...

Nani anaujua wimbo huo?

Usifanye mchezo na maraha ya Dubai hahahaha.

Ila Dogo Janja kashajiwekea CV kwa Uwoya hapo daima atakuwa mtalaka wake.
Siku hizi umeachana na mambo ya laws of relativity,consistency theory na unadeal na ubuyu?!
 
Sawa
Teh teh teh
Wanawake huwa tunajuwa jinsi ya kumhandle mwaname definatel who has money.
When he undergo bankcrup we usually escape/isolate and creat Reason/ Sababu ili asinisumbuwe.

Pole Janjaro ndio Maisha yalivyo, Uwoya atamove to mtu mwingine avute mkwanja.

Pls Wadau naomba hili liwe somo kwa Wengine.
NO MONEY NO LOVE/SEX

Sawa mwanakwetu ila ungetumia tu Kiswahili tunakuelewa. Sasa ndo Kiingereza gani hicho.... ka yai viza
 
Siku hizi umeachana na mambo ya laws of relativity,consistency theory na unadeal na ubuyu?!
Hujanijua tu.

Sio tu na deal na ubuyu.

Kwetu ndio Mbuyuni penyewe wauza ubuyu wote wakuja kununua kwetu.

Tena sasa hivi tunauza mpaka juisi ya ukwaju, ya passion, ya parachichi na mpaka ya tangawizi.

Usinishushe cheo kwamba napatikana kwenye Fermat's Last Theorem na Poincare's Conjecture tu.

I am like all men rolled into one, like the 99 Summer Jam.
 
Ok,basi kama ni hivyo Mungu ni mkubwa!
 
Ok,basi kama ni hivyo Mungu ni mkubwa aisee!!
Wanasema ni mkubwa sana, kiasi kwamba kama hayupo, inabidi wamtengeneze awepo tu.

Too Big to Fail

too-big-to-fail1.jpg
 
Hujanijua tu.

Sio tu na deal na ubuyu.

Kwetu ndio Mbuyuni penyewe wauza ubuyu wote wakuja kununua kwetu.

Tena sasa hivi tunauza mpaka juisi ya ukwaju, ya passion, ya parachichi na mpaka ya tangawizi.

Usinishushe cheo kwamba napatikana kwenye Fermat's Last Theorem na Poincare's Conjecture tu.

I am like all men rolled into one, like the 99 Summer Jam.
Hahahaaaaa
 
Hahahaaaaa
Muandishi mashuhuri wa vitabu vya historia wa Uingereza - huyu Behaviourist kanifanya mimi intellectual, sasa nishampeleka kwenye ubuyu namrudisha kwenye u intellectual- Paul Johnson, alihojiwa na kipindi kimoja cha BookTV C-Span Marekani.

Akawa anatoa maoni yake, kipindi hicho ndiyo Obama anakuwa Rais.

Akawaanaongelea usomi usomi, akaulizwa, utapenda Rais Obama awe msomi msomi atuondoe kwenye ujinga wa Bush?

Akasema hatapendelea, wasomi wasomi wakiendeleza usomi sana wanakuwa boring, halafu wanafanya mambo kwa vitabu sana mpaka wanaharibu.

Angependa kuona Obama anakuwa anachanganya werevu wa kisomi na werevu wa kimtaa mtaa.

Sasa rafiki yangu Behaviourist asishangae akinikuta najichanganya kutoka ma "logical non sequitur" kwenye philosophy of religion, mpaka stories ya ku destress za Dogo Janja.

Dogo Janja anaweza kujadiliwa in the highbrow prism of a post-modernist existential Shakespearean fool's tragicomic Romeo and Juliet analogy.
 
Back
Top Bottom