Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Ni mzuri na tako analo lakini baya mkuu maswala ya kula na kutokula hayanihusu mi ni mwanamke kama yeye siwezi kulizungumzia hilo

Njoeni huku bush muone vitu og huyo demu hanifati hata nyuma
Mzur kama wewe yaan. Ila wewe Mtoto ni mkali wewe
 
Dogo naye alikuwa anajitafutia shida. HIVI UNAWEZA KWENDA HAPO FERI UKAKUTA MATATIZO YANAELEA BAHARINI YAMELETWA NA MAWIMBI KUTOKA KUSIKOJULIKANA NA HAYANA UELEKEO UKAZOA NA KUPELEKA NYUMBANI UKASEMA UMEPATA?
nadhani tangu wakati huo angebadili jina kujiita dogo jinga!!!!!!!!
 
mhhhh kapeace irene ana fito?hapana bwana !mwenye fito wema!na ana ushape zmuri kweli kweli!hv tako zuri na baya ni lipi!mie najua wema ndo ana kalio baya !refu hv!hyu uwoa limeshuka!lipo km kitunguu...hebu nidadavlie shost angu!
Irene ana tako limekaa umbo la kama sio trapezium basi mshazari!!
Mana limetawanyika,af limebanda,af lina kauviringo bapa!!..
witnessj na Raynavero
Njooni mnisaidie kuelezea
 
Tena sasa huyo IRENE ni mbabaikaji balaa,,nakumbuka mwaka 2010 nilikuwa nipo ATHENA, GREECE,,na yeye yupo CYPRUS hapo hapo GREECE,,nilikuwa member kwenye mtando Fulani Wa TAGGED charting and dating website,,, basi nilimpata mle,,,nilimkosa sababu ndy alikuwa amesharudi BONGO na MUMEWE yule,,lakini tulikuwa tunawasiliana sn,niliporudi nikapitiliza south,,then nika lost contant,,,zake za SIMU,, ila ALINIBABAIKIA SN,,angekuwa bado yupo pale CYPRUS ninge MPAPASA...KWEUPE...mbabaikaji tu....
 
mhhhh kapeace irene ana fito?hapana bwana !mwenye fito wema!na ana ushape zmuri kweli kweli!hv tako zuri na baya ni lipi!mie najua wema ndo ana kalio baya !refu hv!hyu uwoa limeshuka!lipo km kitunguu...hebu nidadavlie shost angu!
Kuna picha nimetuma hapo zitizame uone

Hawa watu ni wa kawaida tu umaarufu tu unafanya tuwape sifa nyiingi

Rose ndauka ana tako zuri kuliko hao wote
 
Back
Top Bottom