Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Dogo naye alikuwa anajitafutia shida. HIVI UNAWEZA KWENDA HAPO FERI UKAKUTA MATATIZO YANAELEA BAHARINI YAMELETWA NA MAWIMBI KUTOKA KUSIKOJULIKANA NA HAYANA UELEKEO UKAZOA NA KUPELEKA NYUMBANI UKASEMA UMEPATA?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kupita njia alizopita Diamond sio masihara!
Waliojaribu wote waliishia njiani.
Ona Ali Kiba, Harmonize, na sasa dogo janja.
 
Teh teh teh
Wanawake huwa tunajuwa jinsi ya kumhandle mwaname definatel who has money.
When he undergo bankcrup we usually escape/isolate and creat Reason/ Sababu ili asinisumbuwe.

Pole Janjaro ndio Maisha yalivyo, Uwoya atamove to mtu mwingine avute mkwanja.

Pls Wadau naomba hili liwe somo kwa Wengine.
NO MONEY NO LOVE/SEX
Yes but for how long? How long utakimbilia hela? How long uta jump from one dick to another sababu ya pesa?

Umri unakwenda, no in age , au mpaka makunjanzi na soko likosekane ndio muanze kuwa watakatifu na kurudi kanisani kama kawaida yenu..?
 
Mwache tule vitu akijakushtuka giza limeingia
 
Muandishi mashuhuri wa vitabu vya historia wa Uingereza - huyu Behaviourist kanifanya mimi intellectual, sasa nishampeleka kwenye ubuyu namrudisha kwenye u intellectual- Paul Johnson, alihojiwa na kipindi kimoja cha BookTV C-Span Marekani.

Akawa anatoa maoni yake, kipindi hicho ndiyo Obama anakuwa Rais.

Akawaanaongelea usomi usomi, akaulizwa, utapenda Rais Obama awe msomi msomi atuondoe kwenye ujinga wa Bush?

Akasema hatapendelea, wasomi wasomi wakiendeleza usomi sana wanakuwa boring, halafu wanafanya mambo kwa vitabu sana mpaka wanaharibu.

Angependa kuona Obama anakuwa anachanganya werevu wa kisomi na werevu wa kimtaa mtaa.

Sasa rafiki yangu Behaviourist asishangae akinikuta najichanganya kutoka ma "logical non sequitur" kwenye philosophy of religion, mpaka stories ya ku destress za Dogo Janja.

Dogo Janja anaweza kujadiliwa in the highbrow prism of a post-modernist existential Shakespearean fool's tragicomic Romeo and Juliet analogy.
Duhhh we jamaa mtata sana walah
 
Imma imma imma take you to Dubai...
I'll take you to Dubai...

Imma imma take you to Dubai..
I'll take you to Dubai..

Kuna waatu na viatuuu...

Nani anaujua wimbo huo?

Usifanye mchezo na maraha ya Dubai hahahaha.

Ila Dogo Janja kashajiwekea CV kwa Uwoya hapo daima atakuwa mtalaka wake.
But go back to Irene's post, it's like she was talking what her fan was expecting and not her mind.
As for me am not taking it serious. Post ya Irene ilikuwa kama ni kejeli fulan kwa shabiki wake.

But deep down sionagi kama kuna real love hapo may be kengele za dogo zinampagawisha madam.
 
Muandishi mashuhuri wa vitabu vya historia wa Uingereza - huyu Behaviourist kanifanya mimi intellectual, sasa nishampeleka kwenye ubuyu namrudisha kwenye u intellectual- Paul Johnson, alihojiwa na kipindi kimoja cha BookTV C-Span Marekani.

Akawa anatoa maoni yake, kipindi hicho ndiyo Obama anakuwa Rais.

Akawaanaongelea usomi usomi, akaulizwa, utapenda Rais Obama awe msomi msomi atuondoe kwenye ujinga wa Bush?

Akasema hatapendelea, wasomi wasomi wakiendeleza usomi sana wanakuwa boring, halafu wanafanya mambo kwa vitabu sana mpaka wanaharibu.

Angependa kuona Obama anakuwa anachanganya werevu wa kisomi na werevu wa kimtaa mtaa.

Sasa rafiki yangu Behaviourist asishangae akinikuta najichanganya kutoka ma "logical non sequitur" kwenye philosophy of religion, mpaka stories ya ku destress za Dogo Janja.

Dogo Janja anaweza kujadiliwa in the highbrow prism of a post-modernist existential Shakespearean fool's tragicomic Romeo and Juliet analogy.
Yaan nilikuwa naisoma hii post bila kumsoma mwandishi afu nikajikuta nasema Kiranga huyu. Kurudi juu unakuta ww ndio mwandishi. Nakugawa buree
 
But go back to Irene's post, it's like she was talking what her fan was expecting and not her mind.
As for me am not taking it serious. Post ya Irene ilikuwa kama ni kejeli fulan kwa shabiki wake.

But deep down sionagi kama kuna real love hapo may be kengele za dogo zinampagawisha madam.
Dogo kashapanda chati mtaani.

Visista du vyote vinataka kujua Irene alifaidi nini hapo.
 
Yaan nilikuwa naisoma hii post bila kumsoma mwandishi afu nikajikuta nasema Kiranga huyu. Kurudi juu unakuta ww ndio mwandishi. Nakugawa buree
Hahahaha,

Una visa saaana wewe bibie.

Unataka kuniambia lile wazo langu la kubadili ID kwa sababu ya Kiranga imekuwa marufu sana litakuwa kazi bure tu, kwa sababu mnaujua "muandiko" wangu hata kabla ya kusoma ID?
 
Tena bure bureshi
 
Back
Top Bottom