Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Dogo kashapanda chati mtaani.

Visista du vyote vinataka kujua Irene alifaidi nini hapo.
Irene once said it openly kuwa kapenda kengele zake zinagonga hadi asbh.

Sasa sijui new comer atamudu hilo zoezi

Wazee polen zenu.(joke)
 
Irene once said it openly kuwa kapenda kengele zake zinagonga hadi asbh.

Sasa sijui new comer atamudu hilo zoezi

Wazee polen zenu.(joke)
Zinagombewa hizo.

Watoto wa siku hizi hawana adabu kabisa kama zile zenu dada zao.
 
Najaribu kufikiria hali ya kiafya aliyonayo dogo kwa ss hivi,huyu mwanamke Inasemekana amaeungua long time je kaamua kumuua na chali yetu!?...
 
Waje kwa wazee wenzao huku tuchemshiane maji ya kisado kushtua shtua!!
Cc Kiranga
Uzee mwisho Mlandizi, tena tunausukuma zaidi bado kidogo mpaka unafika Chalinze.

Tunataka kuishi miaka kama ya watu wa Agano la Kale, kwa sasa bado vijana sana..
 
Irene hii dhambi itakutafuna maisha yako yote! Wewe niwakuwaharibia wanawake wenzio wenye vibenteni waonekane watavimwaga?? Kibenten gani kitajiamini? Tafakari rudi kwa mumeo ili zibaki tetesi.
 
Back
Top Bottom