Dogo Janja afeli mtihani wa kidato cha pili

Dogo Janja afeli mtihani wa kidato cha pili

Cuso4.h2o

Member
Joined
Dec 9, 2012
Posts
93
Reaction score
8
Zimetoka taarifa kutoka Makongo Secondary school kwamba Dogo Janja kafeli kuingia kidato cha tatu (form 3) so itabid arudie form 2 au muziki.

Unamshauri nini huyu dogo?
 
Huyo dogo shule haiwezi..bora ajikite kwenye muzik tu.
 
dogo janja amepata wastani wa 27 wa masomo yake. Civics 27, history 33, mathematics 0, kiswahili 46, geography 22, english 42, physics 20, chemistry 30, biology 27, commerce 8, bookkeeping 11
 
Mimi namshauri atulie kwanza kwenye mziki wakati anafikiria nini cha kufanya kwenye elimu. Kusoma anaweza kusoma lakini sio lazima afuate njia hii hii. Kwa sababu ana meneja i hope atamshauri vizuri nini cha kufanya.
 
jamani shule c mchezo!yeye aamue moja,kusoma kwanza au music,kwa umri wake kufanya vyote kwa wakati moja hawezi.Kwa ushauri wangu bora apige kwanza shule.
 
Mathematics amepata 0?!?
Ina maana hata kuandika data collection kabla ya kukokotoa ameshindwa? Kha!
dogo janja amepata wastani wa 27 wa masomo yake. Civics 27, history 33, mathematics 0, kiswahili 46, geography 22, english 42, physics 20, chemistry 30, biology 27, commerce 8, bookkeeping 11
 
Anazuzuka na swimming pool za dar es salaam na vicheche vya BBM
 
Sure! Anapenda sana makubwa ! Swiming, bbm, na umalaya.. Mchaga gan hata. BookkEeping hajui.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mimi namshauri atulie kwanza kwenye mziki wakati anafikiria nini cha kufanya kwenye elimu. Kusoma anaweza kusoma lakini sio lazima afuate njia hii hii. Kwa sababu ana meneja i hope atamshauri vizuri nini cha kufanya.

Tatizo hata music unahitaji discipline,tatizo lake sio kwamba shule hawezi,dogo hana nidhamu.
 
Management za sanaa nyingi ni magumashi,sio bongo tu,hata Marekani ambapo tunapenda kupatolea mfano,ndo maana wasanii wengi wenye umri mdogo huko wanasimamiwa na wazazi,tukianzia Usher Raymond,Beyonce,Michael Jackson hata Justin Bieber nae anasimamiwa na mama yake sababu muziki unahitaji nidhamu.

Kama dogo janja hana nidhamu hata muziki atashindwa kama alivyoshindwa shule sababu wanaomsimamia wanafikiria kumtumia tu,akiendelea hivi miaka mitano ijayo atakua looser tu kitaa,akizunguka kwenye bar kuomba bia.
 
Sure! Anapenda sana makubwa ! Swiming, bbm, na umalaya.. Mchaga gan hata. BookkEeping hajui.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

jaman shule muhimu sana, shule ni kuongeza maarifa na kupanua upeo wa kufikilia...ingekuwa shule ni kutafuta utajiri kuna matajiri dunian lakin bdo watoto wao wanaenda shule, yule mtoto tu akija kuchuja atakuta aliokuwa nao leo form 2 ni mameneja TRA anaenda kuwaomba wamgongee stika....dogo janja umewah kuvuma kama mr.nice, saida karoli n.k, acha kujiita dongo janja kwenye haya maisha ninayoyaona dunian hapa.
 
sa hapo makongo tu anashindwa kufikia wastan sijui angesoma zile shule za complicated icons kama hata wastan wa 0 angepata, AKILI KUKICHWA DOGO.
 
Mjanja wa leo ni mjinga wa baadae, mshaurini ajitahidi tu kukomaa na shule.

Wanamziki wangapi wamesoma na wanaendeleza mziki wao wakiwa na elimu yao na ufahamu mkubwa wa masoko na mikataba? Mfano Kofi olomide, Mwana FA nk.

Dogo acha ujinga soma shule itakusadia mbeleni ktk maisha, wangapi walikuwa wanamziki baadae wakaacha sababu mbalimbali mfano kushindwa tu ktk game, kuamua kuajiriwa, kuachanganya mziki na ajira/jiajiri nk.
Hujachelewa bado maamuzi yako mkononi mwako kutengeneza maisha yako.
 
dogo janja amepata wastani wa 27 wa masomo yake. Civics 27, history 33, mathematics 0, kiswahili 46, geography 22, english 42, physics 20, chemistry 30, biology 27, commerce 8, bookkeeping 11

Kajitahidi sana.
 
Dogo shule hafanyi vizuri na muziki pia

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Zmetoka taarifa kutoka makongo sec. kwamba dogo janja kafel kuingia 4m 3 so itabd arudie 4m2 au muzk.but w unamshaur nn huyu dogo

dogo janja amepata wastani wa 27 wa masomo yake. Civics 27, history 33, mathematics 0, kiswahili 46, geography 22, english 42, physics 20, chemistry 30, biology 27, commerce 8, bookkeeping 11

Kazi ni kwako msomaji.
 
Back
Top Bottom