Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dogo janja amepata wastani wa 27 wa masomo yake. Civics 27, history 33, mathematics 0, kiswahili 46, geography 22, english 42, physics 20, chemistry 30, biology 27, commerce 8, bookkeeping 11
Anazuzuka na swimming pool za dar es salaam na vicheche vya BBM
Mathematics amepata 0?!?
Ina maana hata kuandika data collection kabla ya kukokotoa ameshindwa? Kha!
nilimsikia juz akiamlyifay na milkardayo ayo kua kannua kiwanja Mbez ip cjui kwa 2 million f am not mistaken xo atajenga n shule alifel cz alkua na shoo nyng xo akashindwa kucover masomo yake bt atarudia 4m 2 oooopx kua kannua inamaanisha ad April iii ajaenda shule bac tena hasom bt hana kipaj cha kusoma yy n music nly
Jifunze kuandika vizuri unaeleweka kwa tabu sasa.Wewe na huyo dogo janja hamna tofauti sana.Nini maana ya :
akiamlyifay
milkardayo
kua kannua
oooopx
hasom
yy n music nly?
Unatoa ujumbe au unachat na msela/demu wako wa mbagala?
move on bro dc z ol abt digital xo move on
km umeshindwa kuxona juc omba ueleweshwe Heeeee au uljua nimeandka kikabla changu mambo ya demu wa mbagala anatoka ap km umesahau mada 2namzungumzia dogo janja na c demu wa mbagala au ndo shem anakaa uko t cms umemmis kishenz ooooopx xry sana

jamaa kakuweka fresh,hayo maswala ya kuharibu lugha kwa kujidai ni maswala ya digital yanawapotosha vijana,inawezekana tunamuongelea dogo janja lakini kumbe wakina dogo janja wengine wapo humu humu ndani, sasa ukiulizwa hayo maneno ya x,xory,dc yametokana na nini sijui hata hutajibu nini zaidi zaidi ni kwamba mnaiga tu kwa kufuata mkumbo
Shule co mahalabpake ila afanye yote amalize 4m 4 then aendeleee na hamsin zake hat kuuz karanga fresh
Jifunze kuandika vizuri unaeleweka kwa tabu sasa.Wewe na huyo dogo janja hamna tofauti sana.Nini maana ya :
akiamlyifay
milkardayo
kua kannua
oooopx
iii