Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Hta mm nasubr majbu ya amber
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kwa tabia yake hii Harmonize huwa nampa respect sana!!!Harmonize hawezi kumjibu mtu wa aina hiyo.
I hope unafahamu maana ya ego! Je, unaweza kutoa mfano mmoja wa kuonesha kwamba jamaa ana ego?!He got a point..... Huyo mmakonde ana ego za kibwege sana. Ila ni tatizo dogo, akiambiwa Kama hivi linaishia.
Soma hizo posts kisha chagua moja unayoiona ina elements zote hates kisha muulize mdau chuki yake dhidi ya Harmonize ni ipi! TRUST me, hatakupa jibu kuonesha wote hao wana chuki za kijinga tu!!Huyu dogo anachukiwa zaidi kuliko wasanii wote wa WCB...
Sijui ana tatizo gani..!?
Yah coz dogo anapenda sifa anataka kla kitu anacho fanya chibu na ye afanye au amzidi mtu yoyte wa WCB nd ltakalo muanguxha kwnza ata kujielezea aweziHuyu dogo anachukiwa zaidi kuliko wasanii wote wa WCB...
Sijui ana tatizo gani..!?
[emoji106]Soma hizo posts kisha chagua moja unayoiona ina elements zote hates kisha muulize mdau chuki yake dhidi ya Harmonize ni ipi! TRUST me, hatakupa jibu kuonesha wote hao wana chuki za kijinga tu!!
Kwa sababu anajua ni kweliHarmonize hawezi kumjibu mtu wa aina hiyo.