Dogo janja ampiga kijembe harmonize

Wakijibiwa wanaanza oooh mara WCB hivii mara vilee kumbe wanaanzanga wenyw
 
He got a point..... Huyo mmakonde ana ego za kibwege sana. Ila ni tatizo dogo, akiambiwa Kama hivi linaishia.
 
He got a point..... Huyo mmakonde ana ego za kibwege sana. Ila ni tatizo dogo, akiambiwa Kama hivi linaishia.
I hope unafahamu maana ya ego! Je, unaweza kutoa mfano mmoja wa kuonesha kwamba jamaa ana ego?!
 
Huyu dogo anachukiwa zaidi kuliko wasanii wote wa WCB...
Sijui ana tatizo gani..!?
Soma hizo posts kisha chagua moja unayoiona ina elements zote hates kisha muulize mdau chuki yake dhidi ya Harmonize ni ipi! TRUST me, hatakupa jibu kuonesha wote hao wana chuki za kijinga tu!!
 
Dogo janja namheshimu sana lakini Harmonize namkubali wenye chuki naye wanalao jambo
 
Huyu dogo anachukiwa zaidi kuliko wasanii wote wa WCB...
Sijui ana tatizo gani..!?
Yah coz dogo anapenda sifa anataka kla kitu anacho fanya chibu na ye afanye au amzidi mtu yoyte wa WCB nd ltakalo muanguxha kwnza ata kujielezea awezi
 
hao wwnajuana kwa kuwa meneja wao ni mmoja, wanapanga kutafuta kiki na kujadiliwa mitandaoni tu.
ni upuzi tuu
 
Soma hizo posts kisha chagua moja unayoiona ina elements zote hates kisha muulize mdau chuki yake dhidi ya Harmonize ni ipi! TRUST me, hatakupa jibu kuonesha wote hao wana chuki za kijinga tu!!
[emoji106]
 
Ujumbe umefika tunasubiri Amber Rose ajibu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…