Hata ungekua wewe lazma ungedata,Kwa taarifa yako Irene mtoaji mzuri sana wa mambo ya uwani....Labda Airini ndie kamtoa bikira kaka wa watu ndio maana amechanganyikiwa kuachwa!!!
Na wewe ulishawahi kwenda kuomba ushauri ?Hahahaahaha...ila mbele ya Dr.Chris lazima Dongo janja apone
Tupo wengiAfu mi mpaka leo najua n maigizoo tuu sjawahi fikiria kaa ile n ndoaa
Hujaacha tu mama!!!Mm nampenda dogo janja sijui nifanyeje nimpate
Sio mzuri tu, mapepe! Angekuwa mzuri angekuwa na Ndikumana sahivi!Dogo Janja alijitafutia makubwa tu. Mwanamke mzuri Kama Irene angemuweza wapi sasa....
Hahaaa watanzania bhanaMbona kamjazia tena mavitabu hapo na anajua fika kuwa huyo Dogo alikimbia shule?
mkuu, ukikaa pamoja na mtu kwa muda unamzoea na kumpenda.Hivi huyu D Janja naye aliamini kuwa yule mwanamke kamuoa!
mkuu, ukikaa pamoja na mtu kwa muda unamzoea na kumpenda.
pia kumwagwa kama mwabaume inauma bora umwage wewe