Dogo janja Ana kwa ana na Dr. Chris Mauki

Dogo janja Ana kwa ana na Dr. Chris Mauki

Mtt wa watu usikute aliachiwa kurudisha mbolea ndani kanogewa
 
Huku ikisemekana kuwa msanii huyo wa bongo fleva hana hali nzuri kisaikolojia,kufuatia taarifa za kuwa amemwagwa rasmi na mke wake Irene uwoya,janjaro Leo ameonekana katika picha ya pamoja na Dr Chris mauki ambaye ni mtaalamu wa saikolojia na mahusiano,huku picha hiyo ikienda sambamba na caption inayosomeka "tunahitajiana",Nini maoni yako?View attachment 885562

Mimi ninadhani dogo kaigiza ujasiri wa nyuki, kufa kwa ajili ya penzi hata kama la muda mfupi, yani kajilipua.Si unajua penzi la nyuki, siku moja dozi kwa malikia kisha chali.
 
Alisiwa na ngariba wake aliyemtahiri

Leo kamoyo kamemtepeta kama lichup la nandy
 
Dogo alipokosea ni kutaka kukaa mazima, piga then amsha. Yeye akatangaza ndoa.
 
Back
Top Bottom