Dogo Janja aruka kwa Muna Love

Mwanaume akibalekh sio mdogo tena, na mwaume anaweza kuowa umri wowote.
 
Afanye hicho tu, sijui uwoya anakulana nae denda vp



Uwoya hana shida maana yeye alisema anapenda wanaume wanaonuka vikwapa na mdomo na siyo handsome.....so pengine kule kunuka mdomo Dogo Janja kunampa faraja Uwoya kuwa hawezi kuibiwa na wasanii wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…