kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,340
- 12,055
Sawa boss, ngoja waje wenye kujia tarakimuNimeuliza umri wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa boss, ngoja waje wenye kujia tarakimuNimeuliza umri wake.
ananinipaga mpaka mambo ya uaniiiKama kweli dogo yuko na huyo binti basi anafaidi maana binti anamsambwanda umetulia.
Ohooooo!!!!ananinipaga mpaka mambo ya uaniii
Afanye hicho tu, sijui uwoya anakulana nae denda vpHuyu Dogo Janja kama ana pesa ajaribu kutengeneza hayo meno yake yaliyooza, yanatia kinyaa akicheka.
asee huku arusha hayo ndo tunaona kama dar dimpozHuyu Dogo Janja kama ana pesa ajaribu kutengeneza hayo meno yake yaliyooza, yanatia kinyaa akicheka.
Mwanaume akibalekh sio mdogo tena, na mwaume anaweza kuowa umri wowote.Msanii wa hip hop Dogo Janja amekanusha tetesi za kujihusisha kimapenzi na muigizaji wa zamani na mfanyabiashara Muna Love kwa kusema hajawahi kuwa na mahusiano na habari hizo zinamuweka sehemu mbaya katika mahusiano lakini pia kifamilia.
![]()
Msanii Dogo Janja Kushoto, na Kulia ni Mfanyabiashara Muna Love
Janjaro amelazimika kufunguka hayo baada ya tetesi kuenea muda mrefu kujihusisha na Mwanadada huyo huku wengine wakienda mbali zaidi kwa kusema kwamba analelewa na mfanyabiashara huyo.
"Hakuna kitu kibaya kama utandawazi, yaani kila mtu ana simu na bando lake kwa hiyo akiamka asubuhi anajisikia kufanya chochote au kutunga vitu kama hivyo lakini siyo kitu kizuri, maana yananiumiza mimi na familia yangu, Uongozi wangu lakini pia vinamuumiza mpenzi wangu kwa sababu tuna malengo makubwa hivyo haya yanapoendelea yanazidi kumuumiza au kumchanganya", Dogo Janja alifunguka.
Aidha Janjaro ameongeza kwamba "Mimi siyo mtu wa kuonesha maisha yangu binafsi kwenye mitandao ndio maana hata mpenzi wangu sijawahi kumuweka mitandaoni, maisha yangu binafsi ni ya kwangu na siyo ya kila mtu hata huyo dada wa watu anaumizwa na hili na anafamilia pia kwa hioyo hizi habari zinazidi kumuweka pabaya.
Pamoja na hayo Dogo Janja amewataka watu kutoamini chochote kinachoanzishwa kwenye mitandao ya kijamii mpaka atakapozungumza mwenyewe
EATV
asee huku arusha hayo ndo tunaona kama dar dimpoz
Afanye hicho tu, sijui uwoya anakulana nae denda vp
Ana miaka 24Nimeuliza umri wake.