Dogo Janja: Irene Uwoya ana mvuto, anafaa kuwa mpenzi wangu

Dogo Janja: Irene Uwoya ana mvuto, anafaa kuwa mpenzi wangu

Watu wanawivu mwacheni chaliii atombe kitu yoyote hata farasi maana ni maisha yake....naamini hapa irene akiamua kupokea maombi yenu wengi mtatuma...at the time being mwacheni tu bila shaka yy na mwenzie wanajua kinachofaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alitakiwa kusema "Mama yangu Irene Uwoya ana mvuto ana faa kuwa mpenzi wangu.."
Kama hili la huyu mtoto ni la kweli basi wakupewa lawama ni Madee na kina Babu Tale...huyu mtoto hawamshauri na kumuongoza vyema....huyu atavuna Ukimwi soon kwa mwendo huu...
Kweli wana ruhusu mtoto kuwa na Mama yake tena wa aina hii?
Kwanza angejua kilicho muua Abou xboy friend wa Irine.asingeyasema hayo
huyo mtoto naona anaigiza kila mjinga wa dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Irene uwoya si ana mume jamani?? Au yule ndikumana imakuwaje
 
Back
Top Bottom