Dogo janja kumuimbia Uwoya je ni burudani tu au kuna ujumbe uliojificha?

Kadhakan

Senior Member
Joined
Jul 20, 2026
Posts
126
Reaction score
201
Ikiwa katika jukwaa la miaka 30 ya bongo flava Dodoma ndipo kitendo kilichozua maswali na kufanya show hiyo ichangamke zaidi baada ya Dogo janja kumuimbia alie kuwa Ex wake Iren Uwoya live baada ya kutoa Tunzo ya kutambua mchango wao katika miaka 30 ya Bongo Flava.

Tukio hilo limeleta gumzo kutokana na historia yao ya zamani ya kuwa mke na mume.

Kabisa ,ipo na inaendelea kupanda ila wahuni wa serikali wanatuongopea kwamba imepungua ,si kweli kina "Na hapa ipo D Magari" anasambaza tu bila kupingwa.
We jamaa kila mtu maarufu huwa unasema ana UKIMWI. Nina wasiwasi hata 90% ya hao watu hamjuani wala hujawahi kutana nao.
 
Mkuu mimi sijawahi kusema ,ni wao wenyewe ndiyo wanasema ,mbona sijawahi kusema Zembwela ,Juma Nature etc wana Ngoma? Kwanini iwe Mr Nice , GH wachafu ,D Magari ,Irene Uwoya ,Choki,Nyoshi el sdat ,Stivei Nyerere nk? Kuna Gazeti la Shigongo lilimuhoji Diana Aston Villa akasema Ugonjwa aliokuwa anaumwa yeye ataondoka na Wengi na wakaweka Picha ya hao watu ambao huo ugonjwa utoandoka nao kwa mujibu wa Dianna Aston Villa....Kati ya hao aliowataja wamebaki wachache.
 
Hilo gazeti niliona humu JF nakumbuka. Ilikuwa ni baadae sana Diana na Lilia Internet wameishafariki sijui kuisha chat. Mimi nilikuwa hata siwajui hao wanenguaji maarufu kuwahi kutokea kwenye tasnia ya muziki wa dansi.
 
Uganda wamefanikiwa kwa kutoficha mambo ,ukifa kwa mkono wa nyani aka juliana wanasema black and white ila huku kwetu wanasiasa ,wasanii wameungua hadi basi na wanatembeza rungu kama comrade kipepe kama hawana akili nzuri.

Kuna msanii wa Bongo fleva alishawahi kuimba na kumtaja msanii mwenzake kama kaungua "Nakuonea huruma kwa kuwa una miwaya ,virusi alivyokupa mal@ Y@ aliyekufa kule TANGA' , Tozi Bweka alipiga Amina Chifupa na kuna tetesi AC na M-Cat-Road walikufa kwa Juliana.

Wanenguaji wengi wa kike wameondoka kwa Ngwengwe na wasanii wanashea wote hao ,kuna kundi la Mziki wa zamani wa zilipendwa karibia wasanii wote wameondoka na ngoma coz walishea demu mmoja.
 
Aisee huyo demu namtaka sana kama Kuna anaemjua aniunganishe nae dau langu halizidi milion 1
 
Uganda wamefanikiwa kwa kutoficha mambo ,ukifa kwa mkono wa nyani aka juliana wanasema black and white ila huku kwetu wanasiasa ,wasanii wameungua hadi basi na wanatembeza rungu kama comrade kipepe kama hawana akili nzuri.

Kuna msanii wa Bongo fleva alishawahi kuimba na kumtaja msanii mwenzake kama kaungua "Nakuonea huruma kwa kuwa una miwaya ,virusi alivyokupa mal@ Y@ aliyekufa kule TANGA' , Tozi Bweka alipiga Amina Chifupa na kuna tetesi AC na M-Cat-Road walikufa kwa Juliana.

Wanenguaji wengi wa kike wameondoka kwa Ngwengwe na wasanii wanashea wote hao ,kuna kundi la Mziki wa zamani wa zilipendwa karibia wasanii wote wameondoka na ngoma coz walishea demu mmoja.
Kinachowapa kiburi ni kuzaa kwa sbb suku hizi tech iko juu watt wanazaliwa bila miwaya..so mtu akiambiwa wale au yule ana ngwengwe wanasema mbona kaolewa mbona ana mtoto au watoto hawaju nyumq ya pazia...
Zishukuriwe dawa za ARV
 
Back
Top Bottom