Dogo Janja, live your life kijana

Wimbo mzuri sana kwa upande wangu. Amefanya kazi nzuri keep it up dogo.
 
Hii track ni hit song, sema naona kupotea kwa bongo flavour. We are now tuned to focus on big names, hata wakitoa nyimbo za kawaida sana. Hii track ni kali sana, lakini utaona ya hermonize na diamond ukitoka watu watakavyoishabikia
 
Uko sahihi mkuu 100%
 
Ndo wimbo pekee wa dogo janja niliowahi kuhifadhi kwenye simu yangu.
Zile zingine ni makelele tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…