Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyimbo ya ukweli hii..Dogo amejitahidi
Yeah..Ilikuwa kiki ile..Mwenyewe nimeliona hiloNaanza kukubali kwamba ile clip ilikuwa ni janja.
Hii track ni hit song, sema naona kupotea kwa bongo flavour. We are now tuned to focus on big names, hata wakitoa nyimbo za kawaida sana. Hii track ni kali sana, lakini utaona ya hermonize na diamond ukitoka watu watakavyoishabikia
Naomba kufuta kauli.Nyimbo mbovuu
Hii ngoma Dogo kaimba" nikikurupuka tu dah imekua 1of my favorite now baada ya kuisikiliza kwa muda na kuielewa. Beat, Mashairi [emoji817]Ombi lako limepita mkuu 🙂🙂
Igweeee team kibaaaMimi ni mpenzi wa muziki mzuri,na bahati naujua muziki mzuri ni upi...
Ndio maana namkubali fundi Ali Kiba.
Subiri nikiupata nitaleta mrejesho.