Dogo Janja: Nammezea mate sana Irene Uwoya tangia nikiwa mdogo, naomba siku moja nitimize ndoto

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Dogo Janja amedai anampenda sana muigizaji wa Bongo Movie Irene Uwoya na amekuwa akimmezea mate tangia akiwa mdogo na ameweka picha zake nyingi magetoni kwake, anasema anatamani siku moja ifike akutane naye amwambie shida yake na atimize ndoto yake

 
nilisikia ametoka kimapenzi na Agnes Makonda

AkA agnes gerald masogange
 
Ila vijana wa siku hizi wanakosa adabu kabisa huyu kijana hata miaka 21 bado hajafikisha lakini anawatamani mama zake
 
Ndio maana mvua hazinyeshi kama inavotakiwa, maana daaaah ni hatari sana,
 
Kweli dogo NYANG'AU, hakuna NYANG'AU mzuri.
 
Kwan lini umekuwa mkubwa?
 
Dogo Janja kakua lini, mbona bado mdogo tu? Anyway naona hizo senti zinamsumbua ngoja wanaojua kuzitumia wamtafute maana kajikoki mwenyewe..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…