Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Hutu tusanii uchwara sijui tunawaza kwa kutumia kiungo gani cha miili yao!!!wakati wenzao nje huko wakiwa na ndoto na wakiwaza wafungue kiwanda cha nguo au perfumes gani vyenyewe vinawaza kuwavua nguo wanawake rika la mama zao.yaani diamond ametumbukiza tupu yake,hamo nini sijui nae katumbukiza bado wale wa buku ten ten halafu haka kakinda nako kanawaza kumvua nguo huyo bibi...shame!