Dogo Janja: Nammezea mate sana Irene Uwoya tangia nikiwa mdogo, naomba siku moja nitimize ndoto

Dogo Janja: Nammezea mate sana Irene Uwoya tangia nikiwa mdogo, naomba siku moja nitimize ndoto

Dogo Janja amedai anampenda sana muigizaji wa Bongo Movie Irene Uwoya na amekuwa akimmezea mate tangia akiwa mdogo na ameweka picha zake nyingi magetoni kwake, anasema anatamani siku moja ifike akutane naye amwambie shida yake na atimize ndoto yake




Tatizo la wasanii feki (bongo feva artists wote) ni kuwa bado ni washamba na ndiyo maana hawajielewi hata wakikuwa. Uwoya ni jamvi la wageni kakanyagwa na vibaka kibao, dogo eti analilia hadharani kutembea naye.
 
Hata Irene sidhani kama ni mkubwa kihivyoooo
Irene Uwoya alikuwa miss Tanzania second runner baada ya Wema, Joketi na Irene mwaka 2006, Dogo janja alikuja na umri gani? Hata Uwoya mwenyewe alipoulizwa na Soudy Brown kwenye Weekend Show alisema kale ni katoto kabisa mpaka sura.
 
Hawa watoto wanapenda sana kuchungulia wakubwa.
Tatizo ni wakubwa ndio mnapenda kuwalea...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom