Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Dogo Janja amedai anampenda sana muigizaji wa Bongo Movie Irene Uwoya na amekuwa akimmezea mate tangia akiwa mdogo na ameweka picha zake nyingi magetoni kwake, anasema anatamani siku moja ifike akutane naye amwambie shida yake na atimize ndoto yake
Tatizo la wasanii feki (bongo feva artists wote) ni kuwa bado ni washamba na ndiyo maana hawajielewi hata wakikuwa. Uwoya ni jamvi la wageni kakanyagwa na vibaka kibao, dogo eti analilia hadharani kutembea naye.