ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 937
Japo baadhi ya wasanii wanalalamika kuwa "ma promoter" wanawanyanyasa wasanii, kuna dalili zote kuwa baddhi ya wasanii pia wanataka kutumia fursa za wasanii wenzao kurekebisha maisha. Kiwingu kimatawala kuhusu bifu lililopo kati ya Madee na Dogo Janja baada ya Dogo Janja kurejeshwa Dar na Ustaadh Juma. Wiki iliyopita Madee alihoijiwa na Clouds TV katika kipindi cha Chat room ya Clouds TV na alionyesha kuwa alikuwa na nia njema kumsaidia Dogo Janja, wiki hii Dogo Janja kapanda Studio hizo hizo na kuanika masiah yake na Madee ambapo amebainisha kuwa Madee alipanga kumtumia tu kimziki na sio kumwendeleza.