Dogo kachaguliwa UDOM na Mipango ila hataki hivyo vyuo

Dogo kachaguliwa UDOM na Mipango ila hataki hivyo vyuo

Hivi kusoma diploma ya nursing au degree ya Environemnt kipi bora kwa hali ya sasa ya ajira?

Nursing ni better mara 100 ya hiyo mazingira.. hata ikitokea vita wa tz wote tukawa wakimbizi.. nchi tutakayopokelewa kambi ya wakimbiz.. ma nurse na ma dr watawekwa kando kwanza
 
Nursing ni better mara 100 ya hiyo mazingira.. hata ikitokea vita wa tz wote tukawa wakimbizi.. nchi tutakayopokelewa kambi ya wakimbiz.. ma nurse na ma dr watawekwa kando kwanza
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]safi sana, great thinker! Kwa kukutendea haki huu mjadala unatakiwa uishie hapa.
 
Habari wakuu!

Kuna dogo ana div 1 ya 9 amechaguliwa udom na chuo cha mipango Dodoma, lakini vyuo hivo aliviweka mwishoni kabisa akitegemea kwamba atachaguliwa vyuo alivyoweka mwanzo sasa anatumiwa meseji kila siku ya Ku confirm.

Anasubiri deadline ifike then aombe tena chuo kingine tofauti na hivo. Sasa je haitaleta changamoto?

Anaejua utaratibu wa siku hizi ukoje msaada!
Ningekushauri lakini umeshindwa kujiamini kiasi kwamba unamsingizia mdogo wako wakati muhusika ni wewe.
 
Hanabidi kuomba vyuo vingine before deadline then hapo ...vyuo alivyoomba mwanzo anaacha bila ku- Confirm.

Hiyo ndo njia nyepesi
Mwambie aombe before tareh 6/09 .
 
Back
Top Bottom