Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli gaga, mara nyingi mafundisho ya dini humjenga mtoto kimaadili na kitabia... Kama wazazi/wazazi watarajiwa kuna kila sababu ya kujifunza malezi ya watoto!Watoto wapelekwe kanisani wapate mafundisho sahihi na hofu ya Mungu. wengine wakiitwa wachumba wanasema kabisa mie bado mdogo
Watoto wapelekwe kanisani wapate mafundisho sahihi na hofu ya Mungu. wengine wakiitwa wachumba wanasema kabisa mie bado mdogo
Mkuu kizazi cha sasa uangalizi wa ziada wa watoto ni muhimu! Jamii ya sasa maadili mabovu, watoto huaribikia mtaani!Karne hii Miaka 9 darasa la tatu!!!! Wazazi wa huyo mtoto wako serius kweli??? maana hata kijijini siku hizi miaka 9 uko la 4.Otherwise inawezekana hata umri ana zaidi ya 9.Hiyo haisadii ukimpeleka kanisani katekista ndio amkataze kungalia sunset beach. teh teh teh . Katekista yeye kazi yake ni ku kumfundisha upendo. na kusali. Mengineyo ni ni kazi ya wazazi na jamii.
FATAKI Hazuiliki mkubwa, Dogo keshadata huyo!Wakuu Serikali ilikataza watoto kuwaita wachumba ili kuwakinga na tabia za kifataki, sasa huyo mama sio kuwa anaaribu maadili ya mtoto kwa kumita mchumba? Watoto wa umri kati ya Miaka 5 kwenda juu niwadadisi sana hivyo tunawaaribu sisi wenyewe.
wa zamani walikuwa wamenyooka?duh! Watoto wa sikuhizi wamepinda!