KASOMEA SHULE GANI(O-LEVEL&ADVANCE) HUYU MBUZI OIL SUMU?? ,MAANA UTAFITI UNAONyesha watu wengi waliosomea shule za kata(advance&olevel), wakiingia chuo huwa wana matatizo sana
yan oil sumu na mpiga msuli washakua ma super famous legendary wa ma proud hapa jf. But no need of hating them. That is the way they are. And this is life. Kila mtu ana sifa zake zinazomtofautisha na mwingine. I like them b'coz I learn lot of things through them.
kaingia mitini!
jaman samahan wakuu?
wakuu nimerudi kwa heshima sana mm nimesoma o level turiani ya (dar) advance nimemaliza mwakaleli (mbeya) ila sorry all member sasa nimejirekebisha wakuu nisamehen sana
sawa wakuupamoja sana. Ni challenge tu kaka. Maisha hayapo mteremko, na ingekuwa hvo kila mtu angekuwa tajir sababu kila 1 ana ndoto za utajir ila mipango haiend sawa sababu ya challenge. So Amani sana kaka.
nipo kaka ila nilkuwa najpanga kuomba msamaha wakuu 2po pa1 sasa
MWAKALELI Ndio nini sasa?? , haiko malawi hii?
binafsi nshakusameh but mi sio kaka wangu!
ipo mbeya tukuyu ni shule kongwe na mwaka 2010 ilikuwa ya 5 kwa kitaifa kwa matokeo ya advance
BINAFSI KAMA MPIGAmSULI SIJAKUSAMEHE BADO NINA HASIRA NA WEWE MANAKE HAIWEZEKANI WEWE BAEd ulete maringo kwa maengineer,lawyers,doctors,
mwaka huu Mwakareli imepgwa chini hata na ileje shule ya juz
ipo mbeya tukuyu ni shule kongwe na mwaka 2010 ilikuwa ya 5 kwa kitaifa kwa matokeo ya advance
ctak kubishana nimeelimika sasaHATA KILOSA SEC ILIWAHI KUINGIA TOPTEN, HII MWAKALELI SI NDIO ZINAZOCHUKUA VILaza??, HAPO UNAKUTA WATU KWENYE KOMBI MFANO H G L ANA D25 D 35 C45 NAYE ANASOMA ADVANCE
samahan mpga msuli
NATAKA UANZISHE THREAD MAALUMU HUMU JF, AIDHA ITAKUWA YA KUNIomba radhi mpigamsuli binafsi! au wana jf wote kilaza wewe yaani mtu tangu uzaliwe hujawahi kupata one(olevel/advance), unaleta kelele kwa watu ambao tumepata one (olevel/advance)

msamehe jamani!