Dogo Oil sumu punguza kiherehere na dharau.

Dogo Oil sumu punguza kiherehere na dharau.

Status
Not open for further replies.
NATAKA UANZISHE THREAD MAALUMU HUMU JF, AIDHA ITAKUWA YA KUNIomba radhi mpigamsuli binafsi! au wana jf wote kilaza wewe yaani mtu tangu uzaliwe hujawahi kupata one(olevel/advance), unaleta kelele kwa watu ambao tumepata one (olevel/advance)

una one ya klf hongera
 
Huko Muce anakolingia ajue hakuna lolote kwa wale wenyeji wa Iringa tunakujua. Yaani degree ya Uwalimu inakuzuzua dogo utakula chaki maisha yako yoote.
 
NATAKA UANZISHE THREAD MAALUMU HUMU JF, AIDHA ITAKUWA YA KUNIomba radhi mpigamsuli binafsi! au wana jf wote kilaza wewe yaani mtu tangu uzaliwe hujawahi kupata one(olevel/advance), unaleta kelele kwa watu ambao tumepata one (olevel/advance)

ctak kubshana now
 
Mbona oil sumu hajitokezi sasa??hapa nagundua kwamba ana uwezo mdogo wa kukabiliana na challenges.sijui huko aendako itakuwaje!
 
BINAFSI KAMA MPIGAmSULI SIJAKUSAMEHE BADO NINA HASIRA NA WEWE MANAKE HAIWEZEKANI WEWE BAEd ulete maringo kwa maengineer,lawyers,doctors,

tisher s@n@ mkuu, ivyo ulivyo vimention juu ki1 w@po n mie nipo..
 
huyo demu ana zarau sana ngoja atageuzwa kitoweo boom likikata jana kaniboa sana kupaponda UDOM
 
acheni malumbano tu-discus vya maana Tcu VP adi muda huu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom