donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Kwa niaba 👍👍Amekusikia, atafanyia kazi.
Yes mkuu zuchu amempa backup kubwa sana kuanzia alivyompandisha ile show ya t/packersafande nilegezee kamba, ili niweze kukupanga.
Kajua kucheza na misemo ya kimtaa mtaa, sema zuchu kampush kinyama.
Consistency ni kipengele sana mkuuBongo kuwa maarufu n chap tuu, ila ku-maintain ndo kivumbi
Ulitaka akugharamie wewe?omar ana gharamia.na kugharamika
moja ya dalili za mwanaume anayeendeshwa na mwanamke ni kutumia gharama kubwa kisa kumfanyia mtoto birthday au kumfanyia mwanamke.Ulitaka akugharamie wewe?
Hapana huyu dogo ana talent kubwa namtabiria kufika mbali sana.Hawa madogo hawatafika popote,kwanza wanavipaji vya kawaida tu,ni kiki tu
Sio poa mkuuomar ana gharamia.na kugharamika
kama mama kama mtotoSio poa mkuu
Kwan mpaka sasa ana nyimbo ngap nizifatilieHapana huyu dogo ana talent kubwa namtabiria kufika mbali sana.
Tutaufufua huu Uzi miaka kadhaa mbelel
Watu wana mawe bwanakama mama kama mtoto
SawaaKwa niaba 👍👍