Dogo paten anahusika na ishu gani?Naangalia hapa Clouds TV mubashara wanaonesha birthday ya mtoto wa Omari na Paula (Amarah) naona dogo Paten anatumbuiza na kutunzwa minoti ya kwenda.
Kimasihara sana dogo naona ametoboa, atumie sasa upepo huu vizuri kutengeneza future vinginevyo atabaki kua story tu before hajamake chapaa ya kutosha!
Ni hacker wa NSADogo paten anahusika na ishu gani?
dogo.patenNaombeni handle yake IG ata simjui
Ndiomaana simjiu, hayo mavitu uliyoyataja ndio kwanza nayasikia leoNi hacker wa NSA
Pierree liquid yupo wapi?Naangalia hapa Clouds TV mubashara wanaonesha birthday ya mtoto wa Omari na Paula (Amarah) naona dogo Paten anatumbuiza na kutunzwa minoti ya kwenda.
Kimasihara sana dogo naona ametoboa, atumie sasa upepo huu vizuri kutengeneza future vinginevyo atabaki kua story tu before hajamake chapaa ya kutosha!
Sikia sasa!Hawa madogo hawatafika popote,kwanza wanavipaji vya kawaida tu,ni kiki tu
Sikia!Dogo paten anahusika na ishu gani?
Alishaokoka kaachana na pombePierree liquid yupo wapi?
Uliongea hiliNaangalia hapa Clouds TV mubashara wanaonesha birthday ya mtoto wa Omari na Paula (Amarah) naona dogo Paten anatumbuiza na kutunzwa minoti ya kwenda.
Kimasihara sana dogo naona ametoboa, atumie sasa upepo huu vizuri kutengeneza future vinginevyo atabaki kua story tu before hajamake chapaa ya kutosha!
Kweli mchawi muda mkuuUliongea hili