toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Nduli, Noel, Issa Mamba Je ? huyu sisco nlimwona siku moja ila sikujua kama anaweza kumgonga ronaldo 5-1Bedui kashazeeka sasa hivi.
Wiki mbili zilizopita Sisco alicheza Man to Man na Ronaldo, game ikiisha kwa Sisco kushinda 5 - 1.
wapi walichezea, pale Manyanya ?
pale ndio njia yangu yakwenda home kina mangwelele ndio wanashinda pale na mafundi wengi wa daslama wapo pale, basi sisco kaiva sana saivi...Yes, Manyanya pale.
Nduli, Noel, Issa Mamba Je ? huyu sisco nlimwona siku moja ila sikujua kama anaweza kumgonga ronaldo 5-1
pale ndio njia yangu yakwenda home kina mangwelele ndio wanashinda pale na mafundi wengi wa daslama wapo pale, basi sisco kaiva sana saivi...
sema kaz zinatubana ila huwa napenda sana kuwaangalia hawa...kumbe kawagonga wote kasoro nduliSisco vs Issa Mamba, last game Sisco alishinda 3 - 1; waliwekewa 150,000/-.
Game ya Ronaldo vs Sisqo ilikuwa ya 300,000/-.
Nduli vs Sisqo; walikutana nusu fainali mashindano aliyoshinda Dogo Yassin, Nduli alishinda 3 - 1.
Sisqo vs Noel: Mashindano aliyoshinda Sisqo, nusu fainali Sisqo 2 - Noel 0.
jumapili jion ntapita pale..kuna mafundi pale..Anasumbua sana sasa hivi.
sema kaz zinatubana ila huwa napenda sana kuwaangalia hawa...kumbe kawagonga wote kasoro nduli
Okay....Sema sasa hivi kuna issue za timu, inawezekana game ya Noel alipewa, maana wako timu moja.
jumapili jion ntapita pale..kuna mafundi pale..
ukiwa unatoka biafra unakuja studio upande huo huo kuna wafanya biashara pale road kabla hujafika njiapanda ya kwenda kinondoni makaburini yanapopita magari ya mwanyamala posta(zamani) kuna draft pale kuna vibonde wenzangu najipigiaga, huku upande wa pili kama unarud morocco naendaga kuchukua mbinu hahahaWeekend lazima kuwe na kipute, nina kama week na nusu sijapata updates za pale. Ila game lazima ziwepo.
ukiwa unatoka biafra unakuja studio upande huo huo kuna wafanya biashara pale road kabla hujafika njiapanda ya kwenda kinondoni makaburini yanapopita magari ya mwanyamala posta(zamani) kuna draft pale kuna vibonde wenzangu najipigiaga, huku upande wa pili kama unarud morocco naendaga kuchukua mbinu hahaha
pale pale kumbe we mwnyeji...hata mpira sometimes naangaliaga pale kama nipo pale pembeni kuna wazee wa keram pale palePembeni ya gorofa wanaloonyesha mpira au siyo?
pale pale kumbe we mwnyeji...hata mpira sometimes naangaliaga pale kama nipo pale
sawasawa mkuuYes, mimi pia kuna muda naangalizia game pale.
Nenda manyanya hata saiz au saa kuminambiliNipen update wapi naweza nikamkuta huyo dogo Sisco.? I mean kijiwe chake ni wap.?
kusonya.
Nipen update wapi naweza nikamkuta huyo dogo Sisco.? I mean kijiwe chake ni wap.?