CoronaaHizo pesa ukizibadili kwa pesa za Sanitizer ni kiasi gani?
We mzee baba anil bado yuko dengaaa hpoDah products gani GT? Nilipokuwa mgeni Denmark nilikuwa naokota sana vitu 'jalalani' hasa DVD players na masony bavaria. Nikayajaza homu hadi uvunguni ex waifu akawa ananicheka. Yani ikawa kero eti nakusanya nilete bongo ilibidi nivitupe tu na kuvitupa huko jalalani inabidi ulipie. Bora kubeba boksi nakutulia tu
Lete hata used fridges,freezers, electronics etc.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji2960][emoji2960]Wanaoipata ni wa kuhesabu. Niliingiaga kichwa kichwa matikiti na haisii dalala kilichonitokea nikaapa i will permanently stick my black ass in Denmark
Wanaoipata ni wa kuhesabu. Niliingiaga kichwa kichwa matikiti na haisii dalala kilichonitokea nikaapa i will permanently stick my black ass in Denmark
Dah [emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23]Dah products gani GT? Nilipokuwa mgeni Denmark nilikuwa naokota sana vitu 'jalalani' hasa DVD players na masony bavaria. Nikayajaza homu hadi uvunguni ex waifu akawa ananicheka. Yani ikawa kero eti nakusanya nilete bongo ilibidi nivitupe tu na kuvitupa huko jalalani inabidi ulipie. Bora kubeba boksi nakutulia tu
Zaidi ya milioni miambili kwa mwezi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hio ni mara ngapi ya mshahara wako wa kubeba box?!
Kwahiyo Mkaldayo unapiga 10+M per month?Piga hesabu 50,000-57,000 US $ per year after tax na hapo umeenyeka kichizi.
Gharama za pango la nyumba ya kuishi ni shilingi ngapi?! Pia gharama ya mambo mengine Kama chakula zikoje?Njoo tupambane huku hio $5000 wiki tu unaipata
Inategemea wewe unataka kuishi wapi na unakula chakula gani na wapi.Gharama za pango la nyumba ya kuishi ni shilingi ngapi?! Pia gharama ya mambo mengine Kama chakula zikoje?
Matikiti yaache kwenye spreadsheet....ukiingia kichwa kichwa lazima ulie.
Tafuta product ya huko uilete Tz. Trust me zipo nyingi sana