Dogo wa Arsenal kaula kutoka pauni 3000 hadi 35,000

Dah products gani GT? Nilipokuwa mgeni Denmark nilikuwa naokota sana vitu 'jalalani' hasa DVD players na masony bavaria. Nikayajaza homu hadi uvunguni ex waifu akawa ananicheka. Yani ikawa kero eti nakusanya nilete bongo ilibidi nivitupe tu na kuvitupa huko jalalani inabidi ulipie. Bora kubeba boksi nakutulia tu
We mzee baba anil bado yuko dengaaa hpo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah products gani GT? Nilipokuwa mgeni Denmark nilikuwa naokota sana vitu 'jalalani' hasa DVD players na masony bavaria. Nikayajaza homu hadi uvunguni ex waifu akawa ananicheka. Yani ikawa kero eti nakusanya nilete bongo ilibidi nivitupe tu na kuvitupa huko jalalani inabidi ulipie. Bora kubeba boksi nakutulia tu
Dah [emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gharama za pango la nyumba ya kuishi ni shilingi ngapi?! Pia gharama ya mambo mengine Kama chakula zikoje?
Inategemea wewe unataka kuishi wapi na unakula chakula gani na wapi.
 
Back
Top Bottom