Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Sinto fahamu imetanda, mtandaoni baada ya yule dogo tajiri wa kutrade forex KENYAN prince kuonekana AMELALIA kifua cha mwanaume, kitu amabcho kimeibua tafsiri tofauti.
Ikumbukwe kitambo kidogo, Alisha wahi onekana amevaa pampas mzeer kitu kilicho ibua hofu, kwa watu, wakidhani huenda Ronaldo kasusa kuchezeka timu ya taifa, elewa Ronaldo kasusa kuchezeka timu ya taifa.
Watu wa forex tufafanulieni huenda ni ushamba wetu