Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Shoga mamaeeeSinto fahamu imetanda, mtandaoni baada ya yule dogo tajiri wa kutrade forex KENYAN prince kuonekana AMELALIA kifua cha mwanaume, kitu amabcho kimeibua tafsiri tofauti.
Ikumbukwe kitambo kidogo, Alisha wahi onekana amevaa pampas mzeer kitu kilicho ibua hofu, kwa watu, wakidhani huenda Ronaldo kasusa kuchezeka timu ya taifa, elewa Ronaldo kasusa kuchezeka timu ya taifa.
Watu wa forex tufafanulieni huenda ni ushamba wetu
Hapo Sasa HABARI Za Ushoga....Habari kama hizi zina faida gani ?
Baadae atakwambia kwenye Forex kuna pesa nyingiSinto fahamu imetanda, mtandaoni baada ya yule dogo tajiri wa kutrade forex KENYAN prince kuonekana AMELALIA kifua cha mwanaume, kitu amabcho kimeibua tafsiri tofauti.
Ikumbukwe kitambo kidogo, Alisha wahi onekana amevaa pampas mzeer kitu kilicho ibua hofu, kwa watu, wakidhani huenda Ronaldo kasusa kuchezeka timu ya taifa, elewa Ronaldo kasusa kuchezeka timu ya taifa.
Watu wa forex tufafanulieni huenda ni ushamba wetu
Samahani kaka kama nimekugusa na wewe unalaliaga kifua cha mwanaume mkuuHabari kama hizi zina faida gani ?
Huna watoto mkuu, wanajifunza nini kama SISI tukicheka? Nyie ndio mmefanya tumefika hapaNi kweli, Lakini sisi yanatuhusu nini?
Be a Man, baya lisilokudhuru ni Jema lisilo na Faida.
Wazee wa forex hua najiuliza maswali kibao kuwahusu ila badiBaadae atakwambia kwenye Forex kuna pesa nyingi
Kaka hili umesema wewe 🤣Shoga mamaeee
Magasho wengi...***** zaoKaka hili umesema wewe 🤣
Ninafahamu huwezi kuwa na jibu zaidi ya hilo. Tunatengeneza jamii ya kupumbavu sana ambayo kutwa kushabikia mambo ya hovyo yasikuwa na maana , sijui mnapata faida gani kufuatilia mambo ya namna hiyo , au ndio ukosefu wa ajira?Samahani kaka kama nimekugusa na wewe unalaliaga kifua cha mwanaume mkuu
Utajisikiaje mwanao wa kiume akiwa upinde? Kaka ni mtazamo tu usipanic kaka, najua Sina sababu zozote za kufatilia maisha ya mtu nami nimepost tu kaka huenda alikua ana sikia baridNinafahamu huwezi kuwa na jibu zaidi ya hilo. Tunatengeneza jamii ya kupumbavu sana ambayo kutwa kushabikia mambo ya hovyo yasikuwa na maana , sijui mnapata faida gani kufuatilia mambo ya namna hiyo , au ndio ukosefu wa ajira?
Kijana mwenye kujielewa na kutegemewa na jamii hawezi kupata muda wa kukusanya na kuposti habari kama hizi kwenye mitandao ya kijamii. Ungeutumia huo muda kulima mashina matatu ya mchicha ungepata faida kuliko kufanya hayo unayoyafanya maana hayana mchango wowote chanya kwenye future yako.