Dogodogo anayedai talaka kwa Mzee Majuto

Simba Mkali

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
620
Reaction score
239
Binti (20) anayedai talaka kwa Amri Athuman 'King Majuto' (60) pembeni cheti cha ndoa na hicho alichokishuka ni wito wa kumwita Majuto Bakwata.
 
Anadai talaka alikubalia nini kuolewa? yani ndoa imefungwa 28jul 2013 sasa anadai talaka alifikiri atakua star na yeye au ndio anataka umaarufu? kujitia mkosi tuu..
 
Katafuta umaarufu tu ili wazee wakuhemea wajitokeze mapema
 
hahaha alijua atakuta kwa majuto mihela.....hahaha imekula kwake mtoto mdogo kama huyu kuwa na ndoa za mitala hivyoo
 
Mwe.......!!!! si mjukuu kabisa kwa Majuto.
 
Kwenye kipindi cha mkasi mzee aliomba Raisi ampe trekta.....sasa sijui kama alikuwa anamaanisha au alikuwa kwenye comedy zake.

Yaani pesa anazopata yeye atumie kwa kuongeza wake a.k. nyumba ndogo...alafu maendeleo yake mengine asaidiwe na jamii....

Na wallah akipewa hilo trekta ndio litakuwa "chambo" kwa vibinti machojuu kama hao.....wabongo kazi tunayo...
 
Labda tungejua Historia yake ya maisha ya hako kabinti kwanza. Labda King Majuto kaopoa Mlupo alidhani wife. Kwa difference ya Age yao, huyo dada kukubali kuolewa na Babu yake, kidogo kuna wanalakini.
 
huyu mzee mshenzi sana. alianzaje kutongoza kabinti kadogo hivyo! kama si kujitafutia magono, makaswende, mapangusa na ukimwi wa uzeeni?. kuna movies amecheaza anaoa kabinti kadogo harafu mwisho wa siku anakafumania na anapandwa na presha kumbe alikuwa hatanii.

huyu mzee sijui ni muislam wa namna gani?. watu wa haki za binadamu wakasaidie haka ka binti kapate haki zake ukiwemo mgao wa mali kakienda Bakwata hakatapata kitu KUlingana na sheria za kiislamu
 
muda c mrefu nako katakua kaselebriti et afu kataenda bongo muvi kacheze sinema moja then kajimasogange mwisho majuto atarudi mwenyeye kuomba msamaha,chezea tz wewe
 
Acheni kumwandama King Majuto mbona yule Mzee wa Magazeti hamu musemi yeye ana wajukuu mapacha aliowazaa,au sababu ni tycoon?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…