Dogodogo anayedai talaka kwa Mzee Majuto

Dogodogo anayedai talaka kwa Mzee Majuto

kama namuona hv king majuto alvyokua anakapga sound hako katoto huku akikachekesha! live long majuto uzidi kuniondolea stress
 
Anadai talaka alikubalia nini kuolewa? yani ndoa imefungwa 28jul 2013 sasa anadai talaka alifikiri atakua star na yeye au ndio anataka umaarufu? kujitia mkosi tuu..

Hahahaaaaa 60 kwa 20??? Tofauti ya 40??? Duuu!!!
 
Najiuliza tu nani katika yao nashindwa mziki wa mwenzake babu mwenye uzoefu wa miaka 60 au kabinti ka miaka 20 ambako damu bado inachemka?
 
Huo mshedeee wa Majuto ulipo huko si umeshanyauka tu na kujaa mvi...ndo huyo mtoto alikuwa anataka akahangaike nao....
Kazi kweli kweli.
 
Huo mshedeee wa Majuto ulipo huko si umeshanyauka tu na kujaa mvi...ndo huyo mtoto alikuwa anataka akahangaike nao....
Kazi kweli kweli.

Kumbe huwa inaota mvi na yenyewe....hahahaaaaaa

U really made my evening ....
 
40 years older,duh!!!!
mapenzi hayana umri; mapenzi ni kikohozi.

attachment.php
 
Back
Top Bottom