Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
acheni kumwandama king majuto mbona yule mzee wa magazeti hamu musemi yeye ana wajukuu mapacha aliowazaa,au sababu ni tycoon?
Anadai talaka alikubalia nini kuolewa? yani ndoa imefungwa 28jul 2013 sasa anadai talaka alifikiri atakua star na yeye au ndio anataka umaarufu? kujitia mkosi tuu..
jamani mengi kazaa watoto na sio wajukuu duh!
Huo mshedeee wa Majuto ulipo huko si umeshanyauka tu na kujaa mvi...ndo huyo mtoto alikuwa anataka akahangaike nao....
Kazi kweli kweli.
Kumbe huwa inaota mvi na yenyewe....hahahaaaaaa
U really made my evening ....
angalia uzuri wa dukani huodahhh kumbe kapo hiviii.!