Dogs Coin Airdrop

Dogs Coin Airdrop

Attachments

  • IMG_4144.png
    IMG_4144.png
    198.7 KB · Views: 12
Kwa wale ambao mmejikusanyia DOGS COIN zenu ,hongereni sana

Tarehe 20/08/2024 DOGS COIN inaorodheshwa rasmi kwenye exchange kama
1.Bybit
2.Okx
3.Bitget

Kwa sas unaweza kuhamisha coins zako kwenda exchange ya Bitget na kusubiri tarehe 20/08/2024 na hapo utaweza kuitrade ama kuhold kwa wale long time investors

Ili kuweza kuhamisha coins zako, fanya hatua zifuatazo.

1. download app ya Bitget kupitia link hapa chini ,fungua account kisha fanya verification

Fungua account yako hapo then verify kabisa then njoo utoe coin zako ili tarehe 20 upate kibunda yako kwa simu yako chap
 
UPDATE ⚠️⚠️⚠️
coin ya Dogs inatakuwa listed kwenye exchanges tarehe 23/08/2024 badala ya tareh ya hapo awali kutokana na sababu tajwa hapo chini

Screenshot_20240818_211753_Telegram.jpg
 
Ilikuwa tonkeeper app, ikaja Bitget wallet app,leo naona kuna OKX app , sasa tu connect ipi kati ya hizo?
Kunufauka na coin za bure ni jambo la muda mrefu
 
Ilikuwa tonkeeper app, ikaja Bitget wallet app,leo naona kuna OKX app , sasa tu connect ipi kati ya hizo?
Me si ndo niliwaletea huu mchongo basi nisikilien mm OKX TONKEEPER LAZMA UWEKE PESA KDG ILI IWEZE KUPOKEA COIN
ILA HII OKX UNAWITHDRAW TU COIN ZAKO BILA CHARGE YOYOTE
 
Back
Top Bottom