Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
mrejesho upi unaotaka wakati tumeshakwambia hali ni tete!Tupeni mlegesho mlojaaliwa kwenda
Mkuu mi nataka niwe naleta ugoro mkali ule wa asili huko kwa madiba.yaa mkuu nakuelekeza hapa hapa wewe unataka kununua nini huko pm mm siji
Duh! sa kwanini wamefanya hivyo mkuu shida ilikuwa ni nini hasa?mkuu kisima ugoro na sigara za zimbabwe zimepigwa marufuku ila kuna watu wanaingiza kwa njia zao..ni hela nyingi unapata kati ya izo ila si kushauli kufanya maana zitaishia mikononi mwa police wakauze wewe watakuacha..
Hela yao iko chini au hela yao iko juu?!kama huko hali mbaya kwa sababu ya kuanguka kwa fedha yao nendeni kwa Mandela hapo vitu viingi bei ipo ok na hela yao ipo chini inakusaidia wewe mnunuzi kupata faida uendako kuuza hata ukileta Tz unapata faida unataka kuuza nini na ununue shopping mall ipi ntakuelekeza utafika kwa mandela hakuongopi..
Jee nikileta unga huko si nitapata pesa sana?kwa kifupi nisema tu mambo yalivyobadilika mozambique soon wafanya biashara wengi watakimbia! usd 1 kutoka 27mt hadi 50mt we acha tu meticais imeporomoka hadi shiling ni bora mara mia!25kg ya unga kutoka 400mt ambayo ilikuwa ni sawa na 20,000tsh hadi 1300mt ambayo ilikuwa ni 65,000tsh!yaani hadi uvivu kusimulia
Mkuu kusafirisha mzigo toka SA ni njia gani rahisi?ndege,meli,mabasi kwa kupitia malawi au zambia?kama huko hali mbaya kwa sababu ya kuanguka kwa fedha yao nendeni kwa Mandela hapo vitu viingi bei ipo ok na hela yao ipo chini inakusaidia wewe mnunuzi kupata faida uendako kuuza hata ukileta Tz unapata faida unataka kuuza nini na ununue shopping mall ipi ntakuelekeza utafika kwa mandela hakuongopi..
wadau mlioko pemba vp kampuni za uchimbaji wa mafuta na gesi zipo active kwnye kutoa michongo?
sio sana mkuu ila ningependa kufanya kazi kwenye hiyo sektaMkuu una profesheni ya hizo mambo?
Kaka kwa rate ya sasa hivi utalia. Inshort mtc 1000 ni sawa na elfu thelatin kwa sasa. Kwa hiyo rate hapo inamaana unga wako utauza kwa 39000 tsh bado usafirishaji na kodi pia. Kiroba cha unga bei ya jumla sasa hivi ni 27000.AJee nikileta unga huko si nitapata pesa sana?