Doing Business in Mozambique

Doing Business in Mozambique

kama huko hali mbaya kwa sababu ya kuanguka kwa fedha yao nendeni kwa Mandela hapo vitu viingi bei ipo ok na hela yao ipo chini inakusaidia wewe mnunuzi kupata faida uendako kuuza hata ukileta Tz unapata faida unataka kuuza nini na ununue shopping mall ipi ntakuelekeza utafika kwa mandela hakuongopi..
 
yaa mkuu nakuelekeza hapa hapa wewe unataka kununua nini huko pm mm siji
 
Du!! Yaani kila fursa unayotaka Kui grab ina slip off!! Ngoja nikazie hapahapa bongo japo napo hakuna fursa mpya kivile,na hata Zile za zamani nazo zipo ICU kama Siyo mortuary tayari, na kwa nini sioni wa mozambique wengi kwenye nchi nyingine wakisaka hela?au ndio wameridhika na hali ya kwao?
 
yaa mkuu nakuelekeza hapa hapa wewe unataka kununua nini huko pm mm siji
Mkuu mi nataka niwe naleta ugoro mkali ule wa asili huko kwa madiba.
Je, vijana na wazee wanabwia huko na biashara hii inakubalika huko? Najua wazimbabwe wanazalisha sana tumbaku ambayo ni malighafi ya sigara. Ila sina uhakika kama wanalima ile tumbaku kali ya ugoro wa kubwia na kunusa!

Nipe muongozo ndg make siku hizi matumizi ya hiki kilevi yameshika kasi sana si mjini tu bali hata vijijini..
 
mkuu kisima ugoro na sigara za zimbabwe zimepigwa marufuku ila kuna watu wanaingiza kwa njia zao..ni hela nyingi unapata kati ya izo ila si kushauli kufanya maana zitaishia mikononi mwa police wakauze wewe watakuacha..
 
Duh! sa kwanini wamefanya hivyo mkuu shida ilikuwa ni nini hasa?
Cha msingi navizia chimbo(soko) lolote la ugoro nipate dealer ntakaekuwa nampelekea mzigo hata kama si bondeni kwa madiba! i mean anywhere penye demand ya hii kitu. Softly, i can smel pesa mingi sana ipo ndani ya hii bidhaa...
Vipi watu wa lubumbash na kigali huko hamtumii??
 
kama huko hali mbaya kwa sababu ya kuanguka kwa fedha yao nendeni kwa Mandela hapo vitu viingi bei ipo ok na hela yao ipo chini inakusaidia wewe mnunuzi kupata faida uendako kuuza hata ukileta Tz unapata faida unataka kuuza nini na ununue shopping mall ipi ntakuelekeza utafika kwa mandela hakuongopi..
Hela yao iko chini au hela yao iko juu?!
 
kwa kifupi nisema tu mambo yalivyobadilika mozambique soon wafanya biashara wengi watakimbia! usd 1 kutoka 27mt hadi 50mt we acha tu meticais imeporomoka hadi shiling ni bora mara mia!25kg ya unga kutoka 400mt ambayo ilikuwa ni sawa na 20,000tsh hadi 1300mt ambayo ilikuwa ni 65,000tsh!yaani hadi uvivu kusimulia
Jee nikileta unga huko si nitapata pesa sana?
 
kama huko hali mbaya kwa sababu ya kuanguka kwa fedha yao nendeni kwa Mandela hapo vitu viingi bei ipo ok na hela yao ipo chini inakusaidia wewe mnunuzi kupata faida uendako kuuza hata ukileta Tz unapata faida unataka kuuza nini na ununue shopping mall ipi ntakuelekeza utafika kwa mandela hakuongopi..
Mkuu kusafirisha mzigo toka SA ni njia gani rahisi?ndege,meli,mabasi kwa kupitia malawi au zambia?
 
bongolala inategemeana unasafirisha mzigo gani kama hii ambayo sio mizito unalipia kilo katika ndege unarudi nayo mwenyewe na ambayo inaruhusiwa pia..unaweza ukasafirisha kwa meli pia au maroli ya kizambia mpaka lusaka pale ambayo yapo tupu ya kitanzania yapo meengi tuu na pia inategemeana na mzigo wako bus za kizambia zinapakia mizigo kwa tela kama 20ft kwa iyo unaweza ukapakia shalom pia.
 
wadau mlioko pemba vp kampuni za uchimbaji wa mafuta na gesi zipo active kwnye kutoa michongo?
 
rene hela yao ipo chini kwa dola na wewe unatoka na dola Tz ukibadilisha kule unakuwa kama kwa rate ya tsh 140 kwa rand moja tofauti na apo awali ilikua 180 kwa rand moja
 
nina maana rand moja inacheza 15.80 kwa dola moja ambayo dola mia ni 1580 kwa tsh 220000 ukigawanya tsh izo kwa rand 1580 unapata rate yako kwa siku iyo sema inabadilika ila sio sana kwa kipindi hiki
 
Kaka kwa
Jee nikileta unga huko si nitapata pesa sana?
Kaka kwa rate ya sasa hivi utalia. Inshort mtc 1000 ni sawa na elfu thelatin kwa sasa. Kwa hiyo rate hapo inamaana unga wako utauza kwa 39000 tsh bado usafirishaji na kodi pia. Kiroba cha unga bei ya jumla sasa hivi ni 27000.A
 
hali ya Mozambique bado nitete jaman tunataka kuzamia huko na Sie!!
 
Kama ww ni mwanafunzi au mtu yeyote asiye na ajira au mwenye mshahara mdogo tafadhali bonyeza link ifuatayo uweze kutengeneza hadi dollar 500 sawa na shilingi milioni moja na laki mbili za kitanzania kwa siku.kujiunga ni bure kabisa.Anza sasa kulipwa kutokana na kutumia muda wako kwenye internet.Kwa ufafanuzi ukishindwa kujiunga nitafute 0718115516.unaweza kunitumia meseji wasap au kwa njia ya kawaida.bonyeza sasa link hii
TheJobTasks.com - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people
 
Back
Top Bottom