Doing Business in Mozambique

Ndugu vip kuhusu kupata flame ( chumba cha biashara ) na being kwa ujumla maana nimekua interested naitaji ningekuja kuuza nguo uko
 
Vp Kuhusu Lugha? Wanaelewa kidhungu? au ni kireno tu? Vp kuhusu Usalama ? Hamna Vitu vyenye ncha Kali?
kwa sasa usalama mozambique ni mdogo bado kuna mgogoro baina ya renamo na frelimo na tayari baadhi ya mikoa watu wamekimbilia nchi jirani za malawi na zimbabwe,lugha jamaa hawataki kabisa kuzungumza kiingereza wanaongea kireno,kimakua na kindebele
 

Mkuu bado upo huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…