Professional Trader
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 1,220
- 1,120
Ndugu vip kuhusu kupata flame ( chumba cha biashara ) na being kwa ujumla maana nimekua interested naitaji ningekuja kuuza nguo uko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa sasa usalama mozambique ni mdogo bado kuna mgogoro baina ya renamo na frelimo na tayari baadhi ya mikoa watu wamekimbilia nchi jirani za malawi na zimbabwe,lugha jamaa hawataki kabisa kuzungumza kiingereza wanaongea kireno,kimakua na kindebeleVp Kuhusu Lugha? Wanaelewa kidhungu? au ni kireno tu? Vp kuhusu Usalama ? Hamna Vitu vyenye ncha Kali?
Oya hivi bado upo huko nampula mid nahitajj kuna huko nahisi itakuwa njema mkiwa wenyeji wangumkuu LAT sisi huku Nampula tuna kaumoja ketu sio mbaya wakati wa shida tunasaidiana japo wabongo tunauzito fulani.lakn tunasonga!
Mtafute facebook kwa jina hilohilo. Kuna kipindi alitaka rudi. Kwanin usijaribu drc na Zambia. Msumbiji hakuna mishe sasa hivOya hivi bado upo huko nampula mid nahitajj kuna huko nahisi itakuwa njema mkiwa wenyeji wangu
OK but kuna jamaa juzi niligusia ishu hiyo akasema inalipa maeneo ya Pemba/nampulaMtafute facebook kwa jina hilohilo. Kuna kipindi alitaka rudi. Kwanin usijaribu drc na Zambia. Msumbiji hakuna mishe sasa hiv
Jaman msibweteke nyumban Njoon mjionee wenyewe. Mie niko Huku toka nimemaliza chuo mwaka huu, pesa ni simpo kupata tofaut na mnavyofikiria. Kila business inalipa. wako nyuma sana na niwabishi kubadilika soo u take that advantage, usafir bado niwa vicanter in most parts of the country, na hata huo usafir wenyewe niwamagumash. Kodi za pango kweli zko juu sana huwez compare na za kwetu. pia waja survey gest za Huku Jaman n Bei kinoma yenye AC jiandae kuanzia 60000 kupanda hapo ni kitanda na tv mchina. msos jiandae kipate ya kutumia grader kutafuna la sivyo uwe na 10000 kwa sahan ya ukweli. Ila hela inapatikana sema wewe unapenda ufanye nin. Hata ukisema uuze nyanya za tz utakuwa milionea. mchele wa tz ukipatikana Unanunuliwa kwa dhaman ya sh 3000 kwa kilo. Pia wengi anapokuwa fanya biashara Huku wasom ni wa kuhesabu. Sasa nawashangaa watu mmesomea engineering mnanakaa dar 2 wakat Huku ukijiwekea kagerej bubu. Kwa mwaka unajenga ghorofa.
SEHEM IPI YA BIASHARA. mikoa yote inalipa Ila nampula ndo jiji la kibiashara zaid ingawa kuna competition kubwa sana lkn sio kama dar, pia Beira na Maputo nako kuko byere Tatizo ni mbali sana almost kama km 2800 kutoka mpakan kwa mtwara. Kama hamuamin subirin mumoone Huyo MANING NICE[kama hatakuwa na mabasi karibia nchi nzima within 2 yrs. Tahadhar. Askar wa Huku ni wasambuf hakuna mchezo yakupasa masaa arobain uwe na paspot
Acha kujipa moyo bromademu wale machotara wa kireno na msumbiji ni wazuri sana halafu wanawashobokea sana wabongo.