Doing Business in Tanzania as a Kenyan

Doing Business in Tanzania as a Kenyan

Bwenyenye254

Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
52
Reaction score
85
Kama mada ilivyoeleza hapo juu, naomba kusikiliza experiences zenu while doing business in Tanzania as a Kenyan.
Is this something you would recommend?

Nashukuru.
 
Kama unaweza nenda ubalozi wa Kenya nchini Tanzania. Hpa utapata utaratibu mzuri wa vibali.

Namna bora ya kufanya biashara Tanzania ni kufuata sheria na kuhakikisha una vibali vyote.
 
Kama unaweza nenda ubalozi wa Kenya nchini Tanzania. Hpa utapata utaratibu mzuri wa vibali.

Namna bora ya kufanya biashara Tanzania ni kufuata sheria na kuhakikisha una vibali vyote.
Nashukuru
 
Back
Top Bottom