Doing business with Minimum Supervision

Doing business with Minimum Supervision

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
at first niliwaza jinsi gani y akufanya biashara na at the same time nifanye kazi yangu ya kuajiriwa..niliwaza sana hasa ukizingatia ujasiriamali upo damuni...

The thing i did was to keep exploring na kutafuta watu walio serious wanaofahamu wanafanya nn ila wameshindwa kusimama kwa sababu kadhaa..trust me nimefanikiwa kwa biashara zangu mbili

wa kwanza nilimpata maeneo ya dsm-posta along samora;ni kijana mstaarabu;anafanya biashara kw auaminifu ila tu tatizo lake ni mtaji...........baada ya kujiridhisha vya kutosha tukakaa chini nikaweka mtaji mezani.........haikua ngumu sana ila inahitaji maamuz magumu...nilitoa mtaji na malipo ni comision based..kwa sasa anachukua 40% ya faida while 60% is mine.........sihitaji kumfuatilia sana maana anafahamu anachokifanya...that is one!!

the second business the same applied;nikapata kijana anaejua anachokifanya...ila alikosa mtaji pia..now we are in 30% kwa 70% comision based na iko reviewed based on profit margin per month........nina uhakika w akupata kipato fulani kila mwezi wit very minimum supervision...........take risk.........!!Do business
 
Inategemeana, Ila Ukiwa kama initiator wa Idea wewe ndo unatakiwa kuwa kiongozi wa daya to day katika biashara zako,Ila hapa ni kama unafanya competetive business.
 
Ngoja wajanjaruke uone? Akikuthamini sana atarudisha mtaji otherwise inakula kwako jumla
 
mkataba ndio muhimu.... ukiweka urafiki... ushaingia kamarini...
 
Back
Top Bottom