DOKEZO/KERO: Tumechoshwa na Biashara ya Ngono Inayofanyika Katika Eneo la Shule maana Mabaki ya Kondomu Yanazagaa Uwanja Mzima Kirumba mwanza

Truth Bot AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
307
Reaction score
731
Mwanza. Ni jambo ambalo halikutarajiwa na wengi na isivyo bahati, uwe mgeni ama mwenyeji hapa mjini Mwanza ukipita pembezoni mwa mazingira ya shule za msingi Kitangiri A na C zilizopo pembezoni mwa uwanja wa CCM Kirumba kuanzia majira ya saa moja jioni utakutana na makundi ya wanawake wanaofanya biashara ya ngono.

Wakazi wa eneo hili tumechoshwa na hali hii kwani licha ya wao kuona ni kinyume na maadili, vitendo hivi vinavyofanyika kwenye eneo la shule wanaona ni jambo la hatari kwa afya na malezi ya watoto.

Watoto wetu wanaosoma shuleni hapo na wapo kwenye hatari ya kukumbana na magonjwa kwani inapofika asubuhi mabaki ya kondomu hutapakaa kwenye viwanja vya shule.

“Wale ni wadogo, hawezi kuelewa wanaweza kuokota na kuanza kuchezea, hapo ndio utakuwa mwanzo wa kupata maambuzi ya ajabu ajabu, Siyo suala zuri hata kidogo, Serikali iliangalie kwa upana wake.”

Kuna wakati ukipita pale Serikali wakichachamaa hukuti mtu kabisa, kweupe. Lakini wanachachamaa kwa muda tu halafu wanaishiwa makali, mimi nina uhakika hili jambo linaweza kumalizwa kabisa iwapo Serikali ikalivalia njunga”
wengi wanaojiuza ni kuanzia umri wa miaka 17 hadi 50 wakiwa wanajipanga kando na jengo la uwanja ili kutega wateja.

Na mara baada ya kupata wateja, wale ambao hawamudu kukodisha vyumba kwenye nyumba za wageni hulazimika kutafuta maeneo ya kificho ambapo ndipo wengine huingia katika maeneo ya shule.

“Hapa wanagawana, unawaona hao, hao ni wa elfu mbili kuanzia kwenye mlango huu hadi mlango huu hapa. Sasa kuanzia hapo kwenda hivi utawapata wa elfu tatu na kule mwisho ni wa elfu tano. Yaani huu uwanja wamegawana vilivyo na hawana aibu kabisa”

20240509_191849.jpg
20240509_191851.jpg
20240509_191854.jpg
 
Hakuna kitu kinashindwa kumalizwa kama Kuna sera, Sheria na ufuatiliaji mzuri, sema tu waafrica tuna shida sana, japo Hilo ni Suala mtambuka ila najua linaweza kudhibitika na hata kulipunguza kbsa, kwa makuzi na malezi hasa watoto wa shule siyo jambo salama kwao
 
Serikali imeshindwa kudhibiti hata hili? Tunaongozwa na mfalme juha
 
Mama anaupiga mwingi! Mitano tena! Mataahira yanapayuka. Ccm ni Ile Ile. Wacha waisome namba eeeeh!!!
 
Hao wauzaji waondoke hapo lakini pia wauzaji utamu na wanunuzi wapunguze kunywa mchuzi na limao ndo mana wanasumbuliwa na migenye nyambaf.
 
Dah hatari sana, hili ni jambo serious sana kiroho na kiafya Kwa hao watoto.

Fikiria eneo la shule watu kila siku wanabanduana mamia kwa mamia, harufu za ****, shahawa, nk...hilo eneo full roho chafu halafu watoto wetu wadogo wanasoma hapo tunataka wawe na uelewa.
 
Mwanza. Ni jambo ambalo halikutarajiwa na wengi na isivyo bahati, uwe mgeni ama mwenyeji hapa mjini Mwanza ukipita pembezoni mwa mazingira ya shule za msingi Kitangiri A na C zilizopo pembezoni mwa uwanja wa CCM Kirumba kuanzia majira ya saa moja jioni utakutana na makundi ya wanawake wanaofanya biashara ya ngono.

Wakazi wa eneo hili tumechoshwa na hali hii kwani licha ya wao kuona ni kinyume na maadili, vitendo hivi vinavyofanyika kwenye eneo la shule wanaona ni jambo la hatari kwa afya na malezi ya watoto.

Watoto wetu wanaosoma shuleni hapo na wapo kwenye hatari ya kukumbana na magonjwa kwani inapofika asubuhi mabaki ya kondomu hutapakaa kwenye viwanja vya shule.

“Wale ni wadogo, hawezi kuelewa wanaweza kuokota na kuanza kuchezea, hapo ndio utakuwa mwanzo wa kupata maambuzi ya ajabu ajabu, Siyo suala zuri hata kidogo, Serikali iliangalie kwa upana wake.”

Kuna wakati ukipita pale Serikali wakichachamaa hukuti mtu kabisa, kweupe. Lakini wanachachamaa kwa muda tu halafu wanaishiwa makali, mimi nina uhakika hili jambo linaweza kumalizwa kabisa iwapo Serikali ikalivalia njunga”
wengi wanaojiuza ni kuanzia umri wa miaka 17 hadi 50 wakiwa wanajipanga kando na jengo la uwanja ili kutega wateja.

Na mara baada ya kupata wateja, wale ambao hawamudu kukodisha vyumba kwenye nyumba za wageni hulazimika kutafuta maeneo ya kificho ambapo ndipo wengine huingia katika maeneo ya shule.

“Hapa wanagawana, unawaona hao, hao ni wa elfu mbili kuanzia kwenye mlango huu hadi mlango huu hapa. Sasa kuanzia hapo kwenda hivi utawapata wa elfu tatu na kule mwisho ni wa elfu tano. Yaani huu uwanja wamegawana vilivyo na hawana aibu kabisa”

View attachment 2986071View attachment 2986072View attachment 2986073
Wanauza hapo au wanakuja kufanyia hapo?
 
Duh hy noma, naona uwanja umeitika kwel kwel
 
Serikali inaanzia mtaani kwako (serikali ya mtaa wa kirumba/kitangiri) wanapaswa kuitisha mkutano wa dharula more maoni namna ya kukomesha Hilo suala ndani ya usiku mmoja TU inabaki historia anaetaka kujiuza anunue smart phone ajiuzie ndani ya chumba/nyumba yake wateja wamfuate.
 
Kna kadem kakikurya nilkula pande hii ni kitamu ile mfano sijaiona
 
Back
Top Bottom