Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Kuna baadhi ya watu wanapenda sana kumuingiza Mungu katika vitu ambavyo havina faida kwake.
Unakuta timu ya mpira inacheza labda Tanzania na Kenya, kila upande wa mashabiki wanaomba Mungu washinde sa Mungu atashabikia timu gani? Ikishinda Kenya tutasema Mungu ni mbaguzi?.
Ukraine vs Russia wako vitani wanapigana. Hapo Mungu yuko upande gani? Vipi Ukraine kashinda ni Mungu kamsaidia? Mungu atapata faida gani Urusi ikishindwa? Au hasara gani Ukraine ikishida?.
Mungu anawasaidia wale wanaoshika amri zake na wanaotimiza mambo ya ufalme wake hapa duniani. Mambo gani hayo, kutangaza habari njema, kuhubiri kuhusu ufalme,na kuishi kulingana na kanuni za biblia tu.
Mungu anaonaje vita vya leo?