Dokezo: Serikali ya Tanzania Haiwezi Kutoa Ulinzi kwa Wageni wa AFCON

Dokezo: Serikali ya Tanzania Haiwezi Kutoa Ulinzi kwa Wageni wa AFCON

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Ikiwa mtu kama balozi Polepole alitekwa na mpaka leo Samia na serikali yake hawana majibu, Ally Kibao aliuawa na serikali ikasema kifo ni kifo tu, nasasa magaidi ya CHADEMA yanakamatwa kila kukicha na mhaini Lissu yuko gerezani, usalama wa wageni wa AFCON ni mdogo sana.

Kwakuwa serikali haina uwezo wa kutoa ulinzi wa uhakika, napendekeza CAF wapeleke shughuli hii kwenye nchi yenye usalama zaidi.
 
Back
Top Bottom