Dokii amzawadia kiwanja Lucy Komba

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Msanii wa filamu na muziki , Ummy Wenceslaus ' Dokii ' ambaye pesa imemtembelea ameonyesha kuwa na ushoga uliopitiliza na msanii mwenzake Lucy Komba baada ya kumzawadia kiwanja kwenye kicheni pati yake iliyofanyika hivi karibuni . Dokii akiwa mmoja wa mastaa waliopamba vyema sherehe hiyo iliyofanyika ndani ya Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa , Posta jijini Dar , wakati wa kutoa zawadi alisema , yeye na Lucy wametoka mbali na ili kudhihirisha walivyoshibana, anampa kiwanja kilichopo maeneo ya Bagamoyo . "Mimi na Lucy tumetoka mbali , tumeshirikiana katika mengi na kudhihirisha upendo wangu kwake namzawadia kiwanja cha eka moja kilichopo Bagamoyo, naamini itakuwa ni kumbukumbu nzuri ya urafiki wetu, " alisema Dokii .
 
huyu naye yupo kipindi kile 2010 katumika na katupwa kama kondom
 
isije ikawa alinunua mwenyewe lucy hapo wanatupiga changa la macho
 
isije ikawa alinunua mwenyewe lucy hapo wanatupiga changa la macho

Huyo dokii kajichokea 2 kajaribu kila fani kashindwa,ametoa karatasi z kiwanja au maneno 2 yani hawa bongo movie maisha yao wote fekeroo 2
 
Huyo dokii kajichokea 2 kajaribu kila fani kashindwa,ametoa karatasi z kiwanja au maneno 2 yani hawa bongo movie maisha yao wote fekeroo 2

Mtu mwenyew mbona hafananii na kiwanja, anafanania na wapangaji wa tandale akina mama mwajuma ndala ndefu wao maisha yao yote wanajua kupanga hawajui kujenga wala kuhusu kiwanja, sasa huyu cheusi daw cjui anatak kutuambia nn
 
Huyo kapotea mda ndio mana kaja na nitoke vipi,tunawajua sana kua hawana jipya
 
Mtu mwenyew mbona hafananii na kiwanja, anafanania na wapangaji wa tandale akina mama mwajuma ndala ndefu wao maisha yao yote wanajua kupanga hawajui kujenga wala kuhusu kiwanja, sasa huyu cheusi daw cjui anatak kutuambia nn

Kiwanja Bagamoyo? Alimzinguwa mshikaji Caz T sasa nyeupe ya Bogota imekubali Cat T anamiliki hotel na yuko njema na wala hana mpango wa kushoboka na media wala kina Shigongo.
 
Kiwanja Bagamoyo? Alimzinguwa mshikaji Caz T sasa nyeupe ya Bogota imekubali Cat T anamiliki hotel na yuko njema na wala hana mpango wa kushoboka na media wala kina Shigongo.

Caz t na bogota cjaelewa apa mkuu
 
Kiwanja Bagamoyo? Alimzinguwa mshikaji Caz T sasa nyeupe ya Bogota imekubali Cat T anamiliki hotel na yuko njema na wala hana mpango wa kushoboka na media wala kina Shigongo.

Mkuu caz t cku hizi nae mtu w nyeupe duuuh
 
jamani labda n kweli ila hofu yangu icije ikawa ushoga k.i.m.b.a kama ya mtaa wa pili,kutoana gerezan hatimae kuchukuliana mabwana.
 
Dokii bana namfananishaga na yule mbuta nanga wa UK
 
" Mgawa papuchi kwenye kampeni za Siasa inawezekana kazikamata ohoo! ! mhh :behindsofa:
 
huyu dokiii ndo kachokaaa mbuzi mzee hafai hata kwa supu leo hii ampe mtu kiwanja? world never cease to amaze!!!
 
Mbona yeye mwenyewe kiwanja?
Nakumbuka alilia aliponyimwa kuimba mbele ya obama najiuliza alikuwa analilia kushikana mikono na obama au aimbe apate mkwanja? kama ni mkwanja kumbe anao mpaka atoe zawad ya kiwanja ambayo hata mama Lucy mwenyewe hajatoa? nimekumbuka ana ndugu kibao kilombelo wana shida waliathirika na mafuriko kwanini asiwasaidie hao anatafuta misifa mbele za watu.
 
Bagamoyo kuna mashamba baaaasi yaan utoke Dar ukanunue Ekar Moja Bagamoyo kweeeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…