Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,183 Sep 6, 2014 #21 bona said: huyu dokiii ndo kachokaaa mbuzi mzee hafai hata kwa supu leo hii ampe mtu kiwanja? world never cease to amaze!!! Click to expand... Si mbuzi mzee..punda mzee maana kabeba mizigo sanaaaa
bona said: huyu dokiii ndo kachokaaa mbuzi mzee hafai hata kwa supu leo hii ampe mtu kiwanja? world never cease to amaze!!! Click to expand... Si mbuzi mzee..punda mzee maana kabeba mizigo sanaaaa
K kisokolokwinyo Member Joined Oct 14, 2011 Posts 65 Reaction score 21 Sep 6, 2014 #22 Lucy alikuwa anataka kutuhabarisha km anakiwanja bagamoyo lakini si kwamba dokii kampa,angeangalia na mtu wa kufanya nae usanii wao sio dokii kajichokea et atoe kiwanjaa
Lucy alikuwa anataka kutuhabarisha km anakiwanja bagamoyo lakini si kwamba dokii kampa,angeangalia na mtu wa kufanya nae usanii wao sio dokii kajichokea et atoe kiwanjaa
mathematics JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 3,322 Reaction score 1,110 Sep 6, 2014 #23 duh comments zote zinafanana sio za mashabiki wa Dokii kama vile mumepanga, inamaana Dokii amekuwa wa hivyo kiasi hicho?? mimi binafs namkubali sababu anajua kufanya yake na yakawa mazuri, ni muigizaji mzuri na kuimba anajitahidi labda ni basi tu lucky is not in her side!
duh comments zote zinafanana sio za mashabiki wa Dokii kama vile mumepanga, inamaana Dokii amekuwa wa hivyo kiasi hicho?? mimi binafs namkubali sababu anajua kufanya yake na yakawa mazuri, ni muigizaji mzuri na kuimba anajitahidi labda ni basi tu lucky is not in her side!
cmoney JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 3,570 Reaction score 5,508 Sep 6, 2014 #24 Kiranga said: My attitude is celibate, I don't give a fvck. Click to expand... H ah #fabolous
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Sep 6, 2014 #25 cmoney said: H ah #fabolous Click to expand... I've been playing Loso recently, gully but yet stylish.
cmoney said: H ah #fabolous Click to expand... I've been playing Loso recently, gully but yet stylish.
cmoney JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 3,570 Reaction score 5,508 Sep 7, 2014 #26 Kiranga said: I've been playing Loso recently, gully but yet stylish. Click to expand... that was my vibe at uni bro when am mad..tight album
Kiranga said: I've been playing Loso recently, gully but yet stylish. Click to expand... that was my vibe at uni bro when am mad..tight album