Dokii amzawadia kiwanja Lucy Komba

Dokii amzawadia kiwanja Lucy Komba

huyu dokiii ndo kachokaaa mbuzi mzee hafai hata kwa supu leo hii ampe mtu kiwanja? world never cease to amaze!!!

Si mbuzi mzee..punda mzee maana kabeba mizigo sanaaaa
 
Lucy alikuwa anataka kutuhabarisha km anakiwanja bagamoyo lakini si kwamba dokii kampa,angeangalia na mtu wa kufanya nae usanii wao sio dokii kajichokea et atoe kiwanjaa
 
duh comments zote zinafanana sio za mashabiki wa Dokii kama vile mumepanga, inamaana Dokii amekuwa wa hivyo kiasi hicho??

mimi binafs namkubali sababu anajua kufanya yake na yakawa mazuri, ni muigizaji mzuri na kuimba anajitahidi labda ni basi tu lucky is not in her side!
 
Back
Top Bottom